Nimemuona Wacha1 uwanjani analia kama mtoto
LEO ni LEO....2-0... TAABAN
VERM kule kushoto anapwaya saana...... Katikati ndo MFU bin Maiti..... HOVYO kabisa.....
Thats what we call AWAY goal.....
VERM kule kushoto anapwaya saana...... Katikati ndo MFU bin Maiti..... HOVYO kabisa.....
Bunduki ni km Chandarua cha Hati Punguzo hivi ndy wamelowa kama masika
Wakienda Ujerumani nadhani itakuwa km sikio la kufa.
Sehemu ya kufunga wanajikanyaga kanyaga,kipindi cha pili wabadilike sana.
Mwanaume una GUBU ka Bi HINDU......Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mwanzo walikuwa wazuri sasa wameoza timu nzima
So mpaka Half time Goal attempt ni 0????? KWELI??????