mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Jamaa wa pembeni yake kala usingizi utadhani viongozi wa bongo wanapokuwa bungeni au kwenye vikao vya kimataifaUkiona Mtu Mzima analia kama mtoto ujue kuna mengi, inawezekana amefurahishwa sana au kaumizwa sana![]()