Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Hivi visingizio vitaisha lini?Mike Dean anakataa penalty kwa Arsenal baada ya Walcott kuangushwa ndani ya eneo la 18.

Walcott, Wilshere na Cazorla wangecheza kama kawaida na Wenger angewatoa na kuwaingiza wale watatu alioanza nao yaani Gervinho, Oxdale Chamberlain na Thomas Rosicky.
Hapo kwa kweli Wenger "tactically" amekosea sana na hii haikuwa ni game la kushindwa na timu ya daraja la chini.
Kinachofanyika ni kuwapa nafasi wale "haters" wa hii club nafasi ya kutapika maneno yao.

dah!inakera.game
mnatawala nyie then mnafungwa kizembe tena na timu iliyoshuka daraja na
tena mbaya zaidi tupo kwetu!
The financial position of the club is healthy.Walcott, Wilshere na Cazorla wangecheza kama kawaida na Wenger angewatoa na kuwaingiza wale watatu alioanza nao yaani Gervinho, Oxdale Chamberlain na Thomas Rosicky.
Hapo kwa kweli Wenger "tactically" amekosea sana na hii haikuwa ni game la kushindwa na timu ya daraja la chini.
Kinachofanyika ni kuwapa nafasi wale "haters" wa hii club nafasi ya kutapika maneno yao.
The financial position of the club is healthy.
We do not have to worry because we run the club in a 'sensible' way.
Impossible!Jumanne Arsenal itawashangaza watu kwani itakuwa ni moja ya matukio ya kuyakumbuka. Tunampiga Bayern goli mbili na tutakwenda Munich kulinda magoli.