Mbu karibu sana naona wanoko wanashehereka ati tumefungwa, chacha walipokuwa wanampa brown envelopes Mike Dean walikuwa wanafikiri nini? Wacha Invisible awaletee keki wafaidi vizuri. Gunners ndio timu pekee ambayo inaogopwa na kila timu .. .... ... tumewaachia kikombe hicho washinde kiulaini .. .. ... .. ..
MD kazi aliyopewa ni kulilia mechi za Gunners.
![]()
Giroud .. .... ..
hodi hodi washika ukuta oooh sorry washika bunduki wa London...
Nasikia leo Bata kameza Boga...teh teh
hodi hodi washika ukuta oooh sorry washika bunduki wa London...
Nasikia leo Bata kameza Boga...teh teh
Utalia sana mwaka huu....another trophyless season. Weka picha tafadhali.
Wewe mwaka huu utabeba kombe lipi?Utalia sana mwaka huu....another trophyless season. Weka picha tafadhali.
Wewe mwaka huu utabeba kombe lipi?
....yeah, tunakwenda sambamba na "Guiness World Record" ya idadi ya makocha wenu ktk miaka hii nane.
....hivi ni 8/8 ehh mpaka sasa?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeees...... Wacha 1 and company...mnasikitishaje!!!!!
How? Only an I d i o t can not know that in any game there is only two probabilities.
Eti gunners....bunduki zisizo na firing pin.lol
Tuna Europa na FA still at hand...hahahahahahahahaha...
IN ARSENE WE TRUST :biggrin1:
Bradford knocked you out
Blackburn have knocked you out
Bayern Munchen will knock you out
Remember the letter B
Karibuni mid table
Mbu karibu sana naona wanoko wanashehereka ati tumefungwa, chacha walipokuwa wanampa brown envelopes Mike Dean walikuwa wanafikiri nini? Wacha Invisible awaletee keki wafaidi vizuri. Gunners ndio timu pekee ambayo inaogopwa na kila timu .. .... ... tumewaachia kikombe hicho washinde kiulaini .. .. ... .. ..
MD kazi aliyopewa ni kulilia mechi za Gunners.
Kumbe hata hujui timu yako ilitolewa kwenye kombe la mbuzi au wewe ndio unacheza fainali?