Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rosicky ooooooooooooh anakosa goli na mpira unagonga mwamba na kuwa goalkick.
 
Walcott, Wilshere na Cazorla wanajiandaa kuingia.

Tunahitaji kuongeza nguvu na kubadili mchezo.

Rosicky, Gervinho na Oxdale Chamberlain wanatoka.

Rosicky hajataka kutolewa na hayupo happy.
 
Goli kwa Blackburn.

Hii inashtua na Arsenal hatuamini kabisa, Blackburn wametumia nafasi ya counter attack na wamefanikiwa.
 
Inavyoonekana kwa sasa ni kwamba Arsenal wametolewa. Wakirudisha goli linaweza kutupeleka kwenye "replay"!
 
Mike Dean anakataa penalty kwa Arsenal baada ya Walcott kuangushwa ndani ya eneo la 18.
 
Game limekwisha na Arsenal are out.

Hii kwa kwei ni embarassment kubwa kwa timu hii, na game linalokuja Jumanne ijayo dhidi ya Bayern Munich litakuwa ni kusuka au kunyoa.
 
Hii game tumejitakia wenyewe kufungwa ... Possetion nyingi umaliziaji zero
 
Doing things the same way over and over again, expecting different results!!!! Poleni sana.
 
Walcott, Wilshere na Cazorla wangecheza kama kawaida na Wenger angewatoa na kuwaingiza wale watatu alioanza nao yaani Gervinho, Oxdale Chamberlain na Thomas Rosicky.

Hapo kwa kweli Wenger "tactically" amekosea sana na hii haikuwa ni game la kushindwa na timu ya daraja la chini.

Kinachofanyika ni kuwapa nafasi wale "haters" wa hii club nafasi ya kutapika maneno yao.
 
dah!inakera.game mnatawala nyie then mnafungwa kizembe tena na timu iliyoshuka daraja na tena mbaya zaidi tupo kwetu!
 
Back
Top Bottom