Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nafikiri mfumo kati ya hizi timu mbili ni mmoja (4-5-1) kama sijakosea.. uhalisia ni kwamba chelsea wamedominate game kwa kiasi kikubwa sana, hapa sijui ni ufundi, ubunifu, aina ya uchechazaji na au wachezaji kati ya hizi timu mbili au ni kitu gani wadau khe!
 
Kipindi cha kwanza tumeteswa, I hope Wenger atafanya mabadiriko sio mambo ya kusubiri mpaka dakika za mwisho goli mbili nyuma ninyingi sana kwenye

mechi kubwa kama hii.

Giroud yupo yupo tu uwanjani utasema msaidizi wa refa. Hana msaada kwa vile kiwango chake kinategemea kulishwa tu.

Naona Walcott aende kati Arshavin aje winger. Tumezidiwa sana
 
sababu ni mbili:
1. Chelsea wako juu bana.

2. Ass anals hawana attack technique.
 
Tunawahitaji podolski for le conqlin , arshavin for diaby .. jenkison for sagna
 
Tunawahitaji podolski for le conqlin , arshavin for diaby .. jenkison for sagna

Podolski na Oxlade Chamberlain wanaumwa ndio maana uchezaji wa Diaby na Coquelin umekuwa poor.
 
Kipindi cha kwanza tumeteswa, I hope Wenger atafanya mabadiriko sio mambo ya kusubiri mpaka dakika za mwisho goli mbili nyuma ninyingi sana kwenye

mechi kubwa kama hii.

Giroud yupo yupo tu uwanjani utasema msaidizi wa refa. Hana msaada kwa vile kiwango chake kinategemea kulishwa tu.

Naona Walcott aende kati Arshavin aje winger. Tumezidiwa sana

duh kwakuchagua tu...wewe ungepewa uwezo ungechagua hadi waokota mipira...khekhekhekhekheeeeee...
 
Tunamuhitaji podolski ASAP aje kum stress ivanovich
Podolski anaumwa,Giroud hana nguvu, hana uwezo wa ku-hold mpira. Mechi nguvu kwake kwani tumezidiwa pale kati, mtu kama Arshavin anae weza kumiliki mpira nadhani inaweza kutusaidia kupunguza presha kwa mabeki wetu na midfield yetu.

Bench letu jeupe, mtu mwingine namtegemea kwenye bench Frimpong aje kuongeza nguvu ya kukaba lakini mechi kama hii dogo lazima achukue kadi nyekundu.
 
Back
Top Bottom