Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
usajili utakuwapo kabla ya muda kwisha kwani safari hii watu hawasemi mambo kimya kimya
Mkuu ile ya Laurent Koscielny ni red card haina ubisha kwa Edin Džeko alikuwa katika nafasi ya kufunga....Ina utata kidogo sheria hii,kwa sababu kuna ile mchezaji akiwa ndio wa mwisho na kufanya foul na kuna kuzuia mpira usiingie golini kwa mkono zote ni kadi nyekundu na adhabu yake ni straight red card na kukosa mechi moja inayo fuata.....Ukitazama ile ya Vincent Kompany nayo ni kadi nyekundu na adhabu yake inaambatana na kutocheza mechi nne zinazofuata.
Tukirudi kwa Mike Dean anakuwa na maamuzi ambayo tunaweza kusema yanauma Arsenal tazama hapa.
kama uliangalia mechi ya Swansea sijui utasemaje ile foul aliyofanyiwa Theo na wala haikutolewa foul, kweli sheria ina utata kuhusu red card kama mchezaji anao mpira lakini Dzeko hakuwa na mpira na Tevez alikuwako tayari na movement imekwenda baada ya kukosa goli ndio imefuata foultugange jengine tuwache hapa kwanza mechi zipo nyingi
Tuangalie mechi inayokuja Chelsea wanabana sana kati na hapo ndio tatizo la Arsenal lazima watumie mipira mirefu na huo sio mpira wa Arsenal na muhimu zaidi ni kutumia nafasi yoyote inayotokea kuliko kuharibu nafasi nyingi tumeona mechi iliyopita nafasi nyingi tulipoteza
Tuache ushabiki kiwango cha Arsenal ni kidogo sana kuweza kushindana ndani ya Uingereza na nje, Uwezo wa Arsene Wenger umefikia kikomo hana jipya tena mfumo anaotumia umeshapitwa na wakati, kwa sasa ni barcelona peke yake ndo inafanikiwa kwa mfumo huo hata brazil siku hz wanacheza mipira mirefu ya kukimbiza na kutumia nguvu.
Kila mechi washabiki wa arsenal hasa bongo wamekuwa wakilalamika kuonewa kitu ambocho si kweli makosa ya marefa yamekuwa yazigharimu timu nyingi tu si arsenal peke yake kama mnavyotaka kutuaminisha hapa, katika mechi hiyohiyo Swansea walinyimwa pia penati baada ya Vamalen (Spelling) kumshika mtu ndani ya 18 lakini hakuna anayelalamika nyi mmeona ya walcot tu.
Kama uingereza mnaonewa mbona hamchukui UEFA? Au UEFA nako mnaonewa na marefa ambao si waingereza? Arsenal ina nini hasa hadi marefa wawaonee kiasi hicho?
Arsenal inapaswa kutafakari kwa kina nini tatizo na si kutupia lawama kwa Mc Dean. Ukiangalia mechi ya City mi naamini hata Arsenal wangekuwa wametimia bado kuifunga city ilikuwa ni ngumu tu. Kuna wachezaji wengi ambao viwango vyao vipo chini sana Diaby=Ramsey=Girvinho=Gibbs=Geroud=Avarage players
hongereni kwa kumkomoa michu..
Says manure urinated Fan ....
Itakuwa vipi pale Cheski?

Kuna heavy snow London .. I hope game haitakuwa called off ...
Naona watakuwa wamepata sababu .. ..... .
Tetesi Walcott amesaini mkataba na Chelsick . ... ... .. .
![]()
Na huyu refa je?Adebayo alipofunga hilo goli alishangilia na kuonyesha ngoma iwekwe kati. Mwangalie Mike Dean kwa makini anavyofanya baada ya goli kufungwa.
Na siku wakibebwa hakuna anayesema.Hivi kuna siku mmekubali kwamba mmefungwa kwa kuzidiwa maarifa.........na ticket zenu bei mbaya na ligi hamshindi mnashiriki tu, there is life after wenger!!!................... so delusional:target:
Na huyu refa je?