ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Duh..!
pfuuuuuuuuuu... tik tok tik tok time is rushing..
Duh..!
Tunawahitaji podolski for le conqlin , arshavin for diaby .. jenkison for sagna
Carzola ameshachoka tayari,ilikuwa nguvu ya soda nini?Tunawahitaji podolski for le conqlin , arshavin for diaby .. jenkison for sagna
Carzola ameshachoka tayari,ilikuwa nguvu ya soda nini?
Miaka yote hii kibabu hakijajua nani acheze wapi na nani? Ndo tatizo la watu wanaobaki katika analojia wakati wenzao washahamia digitali.
Tushalambwa sasa!
Wacha1 and @Balatanda tunaomba maoni yenu...!Wacha1, Bala
Hii timu ukiwa unaishabikia unatakiwa uwe na roho ngumu sana
Hii timu ukiwa unaishabikia unatakiwa uwe na roho ngumu sana
Maoni kuhusiana na nini?..........Wacha1 and @Balatanda tunaomba maoni yenu...!