Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Timu iliyocheza na Man City ndio inacheza leo.
01 Szczesny
03 Sagna
05 Vermaelen
12 Mertesacker
28 Gibbs
02 Diaby
22 Coquelin
10 Wilshere
14 Walcott
19 Cazorla
09 Giroud
Kwahio hapo kuna mtindo wa 4-3-3 na Giroud atakuwa mbele peke yake akisaidiwa na Walcott na Cazorla nyuma yake.
Ukuta wa nyuma utazibwa na Coquelin na Abu Diaby na Wilshere.
Hivyo timu itasimama uwanjani kama inavyoonekana kwenye mchoro huu.