Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira ni dakika 90 wandugu.............Si dakika 45 ala 60 so majirani wasishangilie ushindi.........
 
Likifungwa goli la pili na Arsenal basi iandaliwe karamu ya magoli.
 
Maoni kuhusiana na nini?..........

Btw wewe unashabikia timu gani?,maana ndo kwanza leo nakuona Jukwaa la Michezo

SUBSTITUTION: Andrey Arshavin...!???

Bila kujali nashabikia timu gani, Arsenal wapo kwenye "poor form" for nearly a decade...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom