Tuangalie mbele sasa,
Na sijui tunasajili lini
Hii timu labda msimu ujao, msimu huu hatuna chetu.
Ha ha haaah!! Bora wewe uliyejiandaa kisaikolojia mapema, wengine hivi sasa ndio tunajilazimisha kukubaliana na ukweli kuwa msimu huu hatuna chetu...Mie msimu nilijiandaa kisaikolojia mkuu. Wala sina presha.
Wamejitahidi vijana leo ukiangalia tulikua pungufu toka mwanzo wa game.
Flopy of the match mike dean
Diaby hamna kitu bwana sizungumzii ushabiki wala nini? Diaby=Ramsey=Girvinho=0
Mwambie kwa WACHA 1 ndo uje kuniambia na mimi. Akiwa anatoa lugha chafu nyi si huwa mnamgongea likes?
Kafanya vizuri tu sema kakosea kumtoa Ox, angesaidia kwenye counter attack.
Hapa ndio nimemkumbuka Song, angeshuka kupiga mkoba vizurri tu
Nilimuona fagason anashangilia kuwafunga liver utadhani kashinda UEFA shame on him
Arsenal's crowded fixture list
- 13 Jan: Man City (h) Premier League - 0 point
- 16 Jan: Swansea (h) FA Cup - Got knocked out by Michu (got Michued)
- 20 Jan: Chelsea (a) Premier League - 0 point
- 23 Jan: West Ham (h) Premier League - 1 point (if lucky)
- 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round * - Won't play
- 30 Jan: Liverpool (h) Premier League - 1 point (if lucky)
- 2 Feb: Stoke (a) Premier League - 0 point (got Stoked
Nafikiri umemuona Diaby leo, Jack baada ya mechi kadhaa umeona ni kifaa chacha chubiri Diaby apate more games mtamkoma .... .... ...
BTW kama nilivyosema hapo awali Mike Dean hakuwakatisha tamaa masters wake what a fuss ... .... .... ... ... . ndiye refa wa kwanza mwaka huu kwenye EPL kuzomewa all the way .. ... ..
BTW kuna malimbukeni ambao wameanza kuangalia EPL chacha hivi hata hawafahamu marefa ambao wamekubuhu kupokea brown envelopes na wanajulikana, chijui wametumwa na mashoga wao .. .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee