COYG mtanange wa leo utakuwa mswano ngoja wengine tusepe najua wanoko watajaa tele tu hapa kama pishi la udaga .. .. ... ..
Prof hanunui? Champions league sahauni! Kwanza Leo mnatolewa hili kombe la mbuzi!
Wetu hawa
Tuna mapozi sana mbele ya kipa, nafasi ya wazi tumekosa
Wana mlinda mlango mzuri Swansea