Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Afadhali!!
Wilsherrrrrrrrr!!
Hahahaha...kweli kabisa..huyu dogo hafai kabisa!Wilshire bana kaniudhiii ... Keshaharibu mood za watu flani flani ....
![]()
![]()
Match winner: Wilshere's goal secured Arsenal's passage into the fourth round
![]()
Match winner: Wilshere's goal secured Arsenal's passage into the fourth round
Mc dean atakuwa kapewa bahasha ... Na mashekh wa city
Mike Dean ni nuksi kwa Arsenal,unakumbuka hii?
Niliiangalia tena gemu ya Man city na Arsenal hakuna ubishi ile ni penalt lakini sio red card kwani Tevez alikuwa tayari amempita Dzeko kama ulivosema Dean kweli mnazi na alitowa red kwa City ili tu kuweka balance ya red card ya mwanzo lakini hakutoa eti ni foul ya red kwa Company
Dean anaharibu mpira sana kwa Arsenal na Wenger hakutaka kubishana half time kwani anamjua Dean