Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa vipi wakuu tutatoka na point ngapi?


Arsenal's crowded fixture list



  • 13 Jan: Man City (h) Premier League
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round *
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League
* Dependent on winning Swansea replay
Mkuu za masiku ... ... ... vijana wako gado wanapiga mazoezi wanawachubiri Mancs .. ... ... uzuri wa EPL sio sadakarawe kama wauza unga wanavyofikiria ... ... unaona jinsi tunavyotisha kila timu inaogopa kucheza na sisi usione wanajifariji hapa jukwaani Gunners ndio timu inayoongelewa kutwa kucha kisa msimamo dhabiti na prudence aliyoweka prof. si unaona Mancs wanashindwa kulipa £62 kuja kuangalia timu yao itakavyogalagazwa .... .... ..

Tatizo kubwa yule mzee wa brown envelopes bado sijapata story chawa chawa J1 nitajua tu ... ... .... .. Vile vidonge inabidi uongeze dozi maana jamaa wamebadili majina hapa wanajiita majina ya wakoloni kumbe wamesoma lakini kichwani kuna maboga yaliyooza ... .... ... Phew!

BTW mechi zote zilizobaki ni kama cup game .. ... ..

 
Good news Diaby kapiga kipute na under 21 kacheza dakika 65 na yuko fit ... .... .. . hiyo mechi ilikuwa jana mambo mswano kabisa ... .... .... ... .. ...
 
Hellow Gooners, naona wapinzani wamejaa. Ngoja tuanze kuwasambaratisha uwanjani. Afu kuna watu wanamtaja taja Michu utadhani sio juzi aliwatungua. Haha
 
Mike Dean roho mbaya kwa kila mechi anayochezesha Gunners, huyu jamaa na Webb ni maswahiba huwa wanakutana kule Old Trashford kupokea ngawira ... na tayari ka Furngie kameanza kulialia kama katoto kadogo ili ionekana wao ndio wanaonewa, kisa anamuhara Sure boy ... .... .. ..

Diaby anaweza kuwa kwenye bench kesho kama mambo yatakuwa mswano na ushindi ni wetu ingawa wanaye mnoko Dean .... ... COYG.

Kikosi kinaweza kuwa kama hapa chini​

Arsenal-v-Manchester-City-001.jpg


 
Good news Diaby kapiga kipute na under 21 kacheza dakika 65 na yuko fit ... .... .. . hiyo mechi ilikuwa jana mambo mswano kabisa ... .... .... ... .. ...

Kweli we hamnazo yani unashangilia kurudi kwa mwendawazimu!!! Hv Diaby naye ni mchezaji wa kushangiliwa?
 
Kweli we hamnazo yani unashangilia kurudi kwa mwendawazimu!!! Hv Diaby naye ni mchezaji wa kushangiliwa?


Hata Judas mlikuwa mnamponda hivyo hivyo siwezi kukushangaa ... .... ..... ...khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu vipi niaje?

Naona kuingia Emirates imekuwa rahisi sasa baada ya polisi kuzuia eneo zima baada ya kushukiwa kwamba ndani ya gari moja kwenye car park kwamba kulikuwemo begi.
 
Arsenal leo ina Vermaelen, Diaby, Podolski, Oxlade Chamberlain na Walcott wote wanaanza.
 
[h=5]Kikosi cha Arsenal. Szczesny, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Diaby, Wilshere, Cazorla, Chamberlain, Podolski, Walcott.[/h]
 
Back
Top Bottom