Milnerrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Dah!! Kazi ipo.
tumezidiwa mno duh!sidhani kama tutatoka leo
Wenger kajikunja kwelikweli inaelekea yupo kwenye siku zake
Wat dd i tell ya man...Dzeko.
Yan mi ningekua kocha wa Chelsea ningeeka bid for Dzeko!
nice shot by podosk
Wenger inabidi aingie sokoni
Hata akienda supermarket bro kwa man shitty hamfui dafu man.