Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
ht arsenal 0-2 man city
Tutarudi wakuu msiwe na wasi wasi
Kafanya vizuri tu sema kakosea kumtoa Ox, angesaidia kwenye counter attack.coach kafanya maamuzi ya haraka alikuwa asimtoe Alex,
Wilshere alikuwa arudi nyuma na kufanya mashambulizi ya kushtukia lakini kaua mbele hakuna kitu tena sio rahisi kuanziasha mashambulizi
Dean ana historia mbaya na Arsenal
Penalt ni sawa lakini Teves alikuwa mtu wa mwisho Red card ni ???? ngoja nikaiangalie kwenye review kama ni mtu wa mwisho au
Kuwa na adabu kijana.
Mwambie kwa WACHA 1 ndo uje kuniambia na mimi. Akiwa anatoa lugha chafu nyi si huwa mnamgongea likes?
Mc dean atakuwa kapewa bahasha ... Na mashekh wa city
Nilimuona fagason anashangilia kuwafunga liver utadhani kashinda UEFA shame on him