Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
kila coach huwa anatafuta wachezaji wanaofit mchezo wake hilo moja, alafu BA ile clause yake iko known sana kwa vilabu vingi AW anasubiri Last ditch wazongeane wamshindwe yeye anakuja wa mwisho ndo alivyo
tatizo Ba anahitaji pesa nyingi .. na history ya mguu wake sidhani arsene will risk that.. but we need a player like him...