Absolutely thats why I asked you if you sleep with Prof ... ...if you know what I mean! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unhappy new year .. ... ooooooops I mean Happy new year but unhappy results.
Tatizo sie tuko kimya sana.watu wanafanya kweli.
Tufanye haraka tumpe mkataba Walcott tukizubaa tutasikia kashakubaliana na timu nyingine.
Wenger anafanya kosa kubwa leo, kutokuchezesha forward kisa tu Walcot kaonesha uwezo wa kufunga mechi mbili zilizopita. Kiungo anabaki kuwa kiungo na forward anabaki kuwa forward tu. Forward ana uwezo wa kufunga hata kwa kichwa kitu ambacho walcot si mtaalam sana
Teh teh<font color="maroon"><b>Own goal 1 - 1 from a free kick .. .... .. </b></font>
Tatizo washabiki wa gooners hawaonekani humu, hadi tuongoze ndo wanakuja
Happy New Year Gunners wote! Mwaka 2013 uwe wa mafanikio on and off the pitch!!! Have a good one!!
Kwani Man Utd si mmeshacheza na Wigan?.......Huyu kocha wa Saints kafanana sana na Fagason,naamini atatubeba leo