Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nakubaliana nawe kabisa mkuu rejao. Imefikia wakati wa gunners kuhakikisha haipotezi wachezaji wake wazuri. Timu yoyote ile duniani lazima itetereke pindi inapotokea kupoteza wachezaji wake sita/saba wa first eleven. Imagine kama wote wangekuwa bado wako gunners saa hizi tungekuwa tunatesa kwa raha zetu si katika epl tu bali hata uefa.

aende zake tuibue kifaa kingine, analilia kucheza kati kwa kumuofia chambo! Unafikiri kama henri, adebayor wasingeondoka nani angemjua rvp? Footbal ni team work, unapojiona mkubwa kuliko timu matatizo yanaanzia hapo!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naona mechi ya leo kila mtazamaji ame-enjoy isipokuwa wale usual suspects ... ... ... .... mnafikiri kwa nini walifunga uzi wa Gunners ... .... tunatisha majibu kwa wanaoshinda kwa mikiki na kutishia waamuzi .. ... ..... .Vijana wako poa sana na Prof anawakanda pale Colney ... ... .... after halfway stage, there we go ... .... .... ..
 
Mweenh!hivi Giroud naye angetupia cha 3 ingekuwaje?

Record ya magoli 11 kwenye EPL ambayo bado inasimama ... ... ...


Next stop Southampton away on 1st of 2013 at 17:30 GMT .. ... ... .

 
Kwa wale wanaotaka kuona MOT leo Garry kaamua kuwaweka Gunners first maana ilikuwa kiboko ... ... . .

Linaker said:
MOTD running order; Ars/New, Nor/ManC, AV/Wig, Sto/Sou, Sun/Tot, ManU/WBA, Ful/ Swa, Rea/WHU 35 goals."

Mcnulty said:
"Been critical of Arsenal/Wenger after losses to Swansea/Bradford - so only right to give great credit after superb 7-3 beating of Newcastle.

Theo alikuwa na haya ... .. "The team showed great quality and belief. It's great for the fans and was great to be part of it. "I've been saying for the past few weeks that I want to play up front and I am showing the manager what I can do. I believe I will be a striker and it is about taking the opportunity when I get it. On his ongoing contract situation: "I will continue to play my football. Talks are ongoing and I'm sure something will be sorted soon."
 
arsenal-v-newcastle-united-premier-20121229-095830-694.jpg

LONDON, ENGLAND - DECEMBER 29: Theo Walcott of Arsenal scores the first goal past Tim Krul of Newcastle United during the Barclays Premier League match between Arsenal and Newcastle United at the Emirates Stadium on December 29, 2012 in London, England.

arsenal-v-newcastle-united-premier-20121229-105420-340.jpg

LONDON, ENGLAND - DECEMBER 29: Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal celebrates scoring their second goal with Theo Walcott of Arsenal during the Barclays Premier League match between Arsenal and Newcastle United at the Emirates Stadium on December 29, 2012 in London, England
 
January ikifika Santos,djouro,chamakh,squallaci, diaby na arshavin wauzwe tu hata kwa bei ya kutupa na wengine hapo ni wakuwaachia bure tu sidhani kama kuna timu inaweza kuwanunua.

Itasaidia kuleta wachezaji wengine watakao weza kutoa mchango kwenye timu
 
Wakuu, heshima mbele.

Kwa kweli Newcastle walidhamiria kutaka kutukwamisha lakini baada ya kuwa 4-3 mbele, Arsenal wakaanza kutupa sucker punches na Newcastle hawakuwana majibu.

Demba Ba lazima aje Arsenal tuwe na akiba nzuri ya washambuliaji.
 
January ikifika Santos,djouro,chamakh,squallaci, diaby na arshavin wauzwe tu hata kwa bei ya kutupa na wengine hapo ni wakuwaachia bure tu sidhani kama kuna timu inaweza kuwanunua.

Itasaidia kuleta wachezaji wengine watakao weza kutoa mchango kwenye timu

Timu nyingi zinasita kuwachukua wachezaji hao kutokana na pesa nyingi wanayolipwa. Kwa mfano Arshavin alipozungumza na Reading(inawezekana akaenda huko) walikuwa wanashindwa kufikia makubaliano.

Au Chamakh nae ambae analipwa 60,000k kwawiki na Arsenal inabidi akubali kiasi hicho kishuke ili aende kwenye timu hizo.Lakini Chamakh anaweza kwenda West Ham Utd kwa mkopo hapo January.

Diaby bado anahitajika isipokuwa tatizo lake la kurejuhiwa kirahisi. Kuna uwezekano wa kumsajili Yan M'Villa.
 
arsenal-v-newcastle-united-premier-20121229-112025-123.jpg

LONDON, ENGLAND - DECEMBER 29: Olivier Giroud of Arsenal celebrates scoring their fifth goal with Santi Cazorla of Arsenal during the Barclays Premier League match between Arsenal and Newcastle United at the Emirates Stadium on December 29, 2012 in London, England.

ay100506852arsenals-alex-ox.jpg

Arsenal's Alex Oxlade-Chamberlain, rear, shoots past Newcastle United's Fabricio Coloccini but fails to score


Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal clashes with Davide Santon of Newcastle United


Newcastle United defender Davide Santon vies with Arsenal midfielder Jack Wilshere


Arsenal's French defender Bacary Sagna vies with Newcastle United's French midfielder Gabriel Obertan


Newcastle United's Davide Santon and Arsenal's Jack Wilshere battle for the ball


Arsenal's Theo Walcott and Newcastle United's Fabricio Coloccini (right) battle for the ball


Arsenal's Alex Oxlade-Chamberlain reacts after a chance on goal


Arsenal's Theo Walcott and Newcastle United's Fabricio Coloccini (right) battle for the ball
 
tunahitaji kiungo mlinzi Arteta anashindwa kumudu ile nafasi tokea alipoondoka Song leo Wilshere ndio aliipa uhai pale kati
Hongera zetu sote Arsenal
 
Arsène Wenger rules out Theo Walcott leaving Arsenal in January

• Striker shines in 7-3 rout of Newcastle United
• Wenger will not sell Walcott to prevent him leaving for free


Theo-Walcott-applauds-the-008.jpg

Theo Walcott applauds the Arsenal fans after claiming the match ball for his hat-trick against Newcastle. Photograph: Glyn Kirk/AFP/Getty Images


Arsène Wenger insists that there is no chance of Theo Walcott leaving Arsenal in January, after the 23-year-old seized centre stage in his team's breathtaking 7-3 defeat of Newcastle United, by scoring a hat-trick and creating two others. "I rule it out," the manager said emphatically when asked if Walcott would be sold when the transfer window opens in order to prevent him leaving for free when his contract expires in the summer.

There will be continued speculation about Walcott's future unless the player ends the long-running wrangling over a new deal. Wenger is confident he will do that soon because of his strong emotional bond with the club he joined six years ago. "The club loves him and he loves the club and reciprocity in love is the most difficult thing to find," Wenger said. "My desire is to extend his contract and I think he belongs here. Hopefully we can do it."

One key factor in Walcott's decision regarding his future is the position that he is deployed in, with the player believing he deserves to feature as a central striker rather than just a winger. Recent performances have helped bring Wenger around to Walcott's way of thinking. "He can play through the middle, I am convinced of that," the manager said after Walcott scored two of this three goals from a central position. "He's done very well … and he can only get stronger in there. I believe he has become a good finisher. He has learned a lot because he is an intelligent player and because he is intelligent he will continue to improve."

Wenger refused to discuss other factors in Walcott's decision. "I do not want to talk about money or speculation about the attitude of his agent," he said.

aende zake tuibue kifaa kingine, analilia kucheza kati kwa kumuofia chambo! Unafikiri kama henri, adebayor wasingeondoka nani angemjua rvp? Footbal ni team work, unapojiona mkubwa kuliko timu matatizo yanaanzia hapo!
 
Safi kabisa Gunners.

Naona tumeungana leo pamoja na kuwa na mawazo tofauti kwenye threads zingine.

Waliokuja kutudhihaki na hasa waliopenya kupitia milango ya nyuma au kwenye matobo ya thread yetu, wameondoka kimya kimya..!

COYG....
 
Back
Top Bottom