Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu, heshima mbele.

Kwa kweli Newcastle walidhamiria kutaka kutukwamisha lakini baada ya kuwa 4-3 mbele, Arsenal wakaanza kutupa sucker punches na Newcastle hawakuwana majibu.

Demba Ba lazima aje Arsenal tuwe na akiba nzuri ya washambuliaji.

Mkuu Demba Ba goti nasikia linasumbua, sasa asije sajiliwa halafu ikawa issue.

mie naona tatizo sio strikers bali ni kipa mwenye safe pair of hands, central defender na attacking midfielder.
 
Chelski wanahenyeshwa kinoma hapa wakuu, wako hoi....

Haka ka Everton kakiamua kuupiga wanasumbua mno....!
 
Breaking news.... According to sky sports tv, Demba Ba atakutana na Chelsea representatives this evening ku discuss terms... disappointment to all gunners kwa kweli.
 
Breaking news.... According to sky sports tv, Demba Ba atakutana na Chelsea representatives this evening ku discuss terms... disappointment to all gunners kwa kweli.
Tatizo sie tuko kimya sana.watu wanafanya kweli.

Tufanye haraka tumpe mkataba Walcott tukizubaa tutasikia kashakubaliana na timu nyingine.
 
Mkuu Demba Ba goti nasikia linasumbua, sasa asije sajiliwa halafu ikawa issue.

mie naona tatizo sio strikers bali ni kipa mwenye safe pair of hands, central defender na attacking midfielder.
Wacha aende Chelsick kule atapata number ... .. .... mchezaji yoyote anayefunga goli kwenye mechi ya Arsenal anakuwa nyota .... ... Andy Carol, Michu, Bar etc lakini quality ndio ina-mata, mwacheni aende kwa Chelsick maana atapata mpunga mzuri pale, kuhusu Theo nashangaa mashabiki lukuki walikuwa wanamlaumu sana na mimi nilisema tangu mwanzo he was just 20 yrs at that time lakini wengi hawakunielewa leo hii ni washabiki hao hao ambao wanamlilia ... .... ...... BTW huenda tayari alikuwa na mkataba mwingine kwenda Chelsick au Mancs kwa sababu aliambiwa he can mention his price .... kwa sababu atapewa open check na yeye ndiye aandike amount. The fact ni kwamba msimu huu hata kama hatasaini hawezi kuondoka hadi summer Prof hawezi kufanya makosa kama yale ya Judas angemwacha aende kwa Bosman rule na hicho ndio Theo atapata kwa maoni yangu. Fujo zote hizi zipo zinaongozwa na yule mrusi ambaye ni mnafiki alikuwa na option ya kununua club lakini akasuasua na Kronke alipochukua ndio anakuja kusema naye anahitaji kununua club.

Matokeo ya jana ni vile vijana wanavyokuwa wakati wa mazoezi na ku-replicate kwenye match day ndio kinacho mata, hatuna majeruhi sasa na nasubiri kwa hamu kubwa
Diaby aje kuonesha moto wake kabla ya kuumia, Jack anakuja vizuri ingawa jana alifanya makosa kama yale ya Nasri walipocheza na Manure, I hope wachezaji ambao hawawezi kuweka ukuta bora wakae pembeni. ... ..... ... what the heck .. ... he is only a boy .... .... and we won!

BTW kila kifaa anachohitaji prof ndio kimbilio la kila manager .. .... .
 
Wakuu wa gooner na wanamichezo wote nawatakia kila la kheri katika kuaga 2012 na kukaribisha 2013.

Tuwe waangalifu kwani kuna matukio mengi sana yanaendelea, mengi ni ya starehe lakini pia yana weza kuhatarisha maisha yetu. Nawaomba tuwe makini, kama tunachagua kulewa basi tusijaribu kuendesha gari.

Nawatakia kila la kheri katika kuukaribisha mwaka mpya.

Gooner 4 life
 
Ba atakuja tu goners... Kuna kiatu kinamsubiri

yaani wenger anashindwa hata kumnunua demba ba mpaka anaenda chelsea? alicost only 7mil aibu zenu sasa kama mnashindwa kutoa hiyo hela kwa ba mtaweza kumnunua Nani kweli? ndo mana fergie amekataa kwa sababu anajua nyie njaa kali hamna hela
 
kuna dogo anaitwa zaha ... keshaandaliwa kuwa replacement ya theo.. wakati theo ana move center pale...
 
huyo dogo anachezea timu gani?

my point exactly!! hata watu humu hawajui zaha ni nani na anachezea wapi....ni dogo wa crystal palace...hana experience na premier league wakati ba tayari tunajua ni goal scorer...babu wenger deals zake ndo mana players wake hawa sign new contracts
 
kuna dogo anaitwa zaha ... keshaandaliwa kuwa replacement ya theo.. wakati theo ana move center pale...

theo nitashangaa kama ata sign new contract...kama kweli ni mchezaji anayetaka kushinda makombe na medals then arsenal sio team ya kua nayo...they will never win anything under wenger
 
Good news this morning ni kuwa jana jioni reps wa Demba Ba wameshindwa kufikia makubaliano na Chelsea fc so bado yuko available and AW has to act fast.
Source: sky sports
 
my point exactly!! hata watu humu hawajui zaha ni nani na anachezea wapi....ni dogo wa crystal palace...hana experience na premier league wakati ba tayari tunajua ni goal scorer...babu wenger deals zake ndo mana players wake hawa sign new contracts

utakuja kuona experience yake pale digea atakapokuwa anaokota mipira toka wavuni ....:becky::becky:
 
theo nitashangaa kama ata sign new contract...kama kweli ni mchezaji anayetaka kushinda makombe na medals then arsenal sio team ya kua nayo...they will never win anything under wenger

Nick powell,Bebe,Hernandez,De gea wakati wanatua Manure walikuwa na Experience ya Epl? Na kwa taarifa zilizo rasmi man utd nao wanamtaka dogo yule

Theo ameshakubali kubaki kwani amepewa hiyo nafasi aliyotaka na amefanya vizuri tatizo Board hawako tayari kumpatia 100,000k we kaa na timu yako umekazania Arsenooo kama kadada flani hivi alafu kiherehere shit!!
 
Good news this morning ni kuwa jana jioni reps wa Demba Ba wameshindwa kufikia makubaliano na Chelsea fc so bado yuko available and AW has to act fast.
Source: sky sports

kama Chelsea wameshindwa 90,000k per week sie babu atatoa? Theo anataka 100,000k AW hana mpango wa kumpatia hizo pesa labda dogo na wakala wake washushe kidogo unless otherwise naiona Bosman transfer mwishoni mwa msimu kama si kusepa january hii

Wachezaji anaowataka AW huwa hawapati na wanaoitaka Arsenal wenger huwa hana mpango nao uzoefu unaonyesha
 
utakuja kuona experience yake pale digea atakapokuwa anaokota mipira toka wavuni ....:becky::becky:

kila coach huwa anatafuta wachezaji wanaofit mchezo wake hilo moja, alafu BA ile clause yake iko known sana kwa vilabu vingi AW anasubiri Last ditch wazongeane wamshindwe yeye anakuja wa mwisho ndo alivyo
 
Back
Top Bottom