Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hayo ni mambo ya Ngoswe mtani.........Siku zote inatakiwa aachoiwe NgosweWenger anafanya kosa kubwa leo, kutokuchezesha forward kisa tu Walcot kaonesha uwezo wa kufunga mechi mbili zilizopita. Kiungo anabaki kuwa kiungo na forward anabaki kuwa forward tu. Forward ana uwezo wa kufunga hata kwa kichwa kitu ambacho walcot si mtaalam sana