Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

timu zote zimecheza boxin day except arsenal eti kisa mgomo wa tube...huo ni upuuzi and its unfair to other teams to play every 4 days na arsenal wamepumzika...

kama umekaa london ungejua bila tubes ni ngumu kufika emirates ... unadhani kwanini ule uwanja umewekwa pale,,,..?
 
Tumeamua kuwapumzisha ili mle sikukuu vizuri msije kula Xmass kwa machungu. Pia tunataka kuondoa kisingizio cha wachezaji wamechoka mnapofungwa. Mary Xmass and happy new year

timu zote zimecheza boxin day except arsenal eti kisa mgomo wa tube...huo ni upuuzi and its unfair to other teams to play every 4 days na arsenal wamepumzika...

Aibu ... ... .. na nyie mnajiita great tinkers?

''Abou Diaby is close to a return, he started the season in rampant fashion as Arsenal went unbeaten in five'' wiki ijao anaanza mazoezi na itamchukua kama wiki moja tu kuwa sawa ... .... .... vile vile Santos anarejea .... ....
 
Wakuu naona Wenger leo hakutaka kuleta mtafaruku juu ya uhamisho wa Demba Ba kwa kuhofia kuharibu matayarisho ya mechi ya kesho.

Hivyo suala la Ba limekuwa closed kwa muda.
 
gemu vipi? timu iko vizuri tukiweza kumiliki kati ushindi upo, Wenger awache kujaribu kina Ramsey kwenye position sizo
 
View attachment 77124
Nasikia mkuu vermaelen anapumzika hapa kwa mwanadada Polly Parsons,huyu ni British Tv presenter.Isije ikawa ndo reason nowadays vermaelen anaanza kuwa soft.
 
''Abou Diaby is close to a return, he started the season in rampant fashion as Arsenal went unbeaten in five'' wiki ijao anaanza mazoezi na itamchukua kama wiki moja tu kuwa sawa ... .... .... vile vile Santos anarejea .... ....

haya pancha kurudi uwanjani..
 
kama umekaa london ungejua bila tubes ni ngumu kufika emirates ... unadhani kwanini ule uwanja umewekwa pale,,,..?

kama hilo swala wanalijua basi games za boxin day za arsenal wawe wanacheza away from home kwanini wanapangiwa kucheza emirates kama wanajua mara nyingi kunakuwaga na mgomo wa tube
 
Chacha si umuulize Fungie yeye ndiye anapanga nani acheze na nani, huwa anapanga fixtures, Wacha kuwanga huku hakuna mashoga ... .... ..

Na ndo mana nimekwambia tumewapumzisha boxing day alafu anauliza kama were great thinker tulia usiwe unakurupuka.
 
kama hilo swala wanalijua basi games za boxin day za arsenal wawe wanacheza away from home kwanini wanapangiwa kucheza emirates kama wanajua mara nyingi kunakuwaga na mgomo wa tube

Achana nao hao ingekuwa ndo Man Utd wamepumzishwa wangechongoa mdomo mwaka mzima kuwa wanapendelewa
 
Leo jioni walio EU na usiku walio bongo.

Mechi ngumu kama nini, lakini umefika wakati Arsenal waanze kuonyesha kuwa na nao wamo.

Tutakua pamoja baadae
 
Raha ya ugomvi siku zoote mfate mtu nyumbani kwake!!! Juzi Man Utd wamebebwa sasa leo wanaume tunaingia emirates!

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom