Hatrick....
Congrants Walcot
Kwa staili hii babu hasajili tena Striker!!!
Hahahahaha...Ndiyo raha ya JF...huku BAK na Rejao ni damu damu!!!! Congratulations Gunners kwa ushindi mnono. :majani7::majani7::majani7:
Walcot apewe tu mkataba mnono!!
Now naona umuhimu wake!!
other things remain constant.. swali ni je wataendelea kucheza kama walivyocheza leo kwa mechi zote zilizo baki?
Its time kwa mgt ya Arsenal kubadilika. Dogo anajituma sana, umuhimu wake kwenye timu unaonekana. Sioni kama ni tatizo akipewa hata 100-120k!Tatizo AW na management wanataka kumlalia wakati MANU, MANC na Tottenham wako tayari kumpa mshiko mzuri. Wasipokuwa makini naye ataamua kuivua jezi.
Its time kwa mgt ya Arsenal kubadilika. Dogo anajituma sana, umuhimu wake kwenye timu unaonekana. Sioni kama ni tatizo akipewa hata 100-120k!