Leo mlikuwa mpigwe goli 5 bila kipa kawaokoa
Msajilini Michu January
poleni sana...
Ila tuache jamani hawa Watoto Swansea ni kiwango cha Barcelona
Unafikiria timu yako ambayo imezoea zima moto ... .. we are Gunners hiyo ndio tofauti.
habari zenu..khe khe kheeeeeee!! mnalo
Ni upepo tu utapita....!! Lol..
he he..haya wee ni upepo tu...lile goli la pili mlifungwa kizembe kweli kweli na Swansea...leo mmenyweaaa!!
habari zenu..khe khe kheeeeeee!! mnalo
Viper kashengo wakati season inaanza walikua wanatucheka man utd tulivokua tunaachia magoli eti wenyewe wakawa wanasema wana strong defence hawaachii magoli wanashinda 2-0 1-0 au wanatoa draw 0-0 mi nilikua nawacheki tu na niliwaambiaga kua nyie nguvu ya soda its just a matter of time mtaanza kuachia and boy was i sooo right :biggrin1: