kusema wamechoka ndo maana walifungwa si sawa
Viper mbona Manure nao walicheza na west ham jumatano? Hapo wachezaji wameshaathirika kisaikolojia kwani coach anasema kwenye media "we cannot compete with top teams" sasa washindane nini na boss anadai baada ya Two years ikija FFP?
Tofauti yetu na kikosi cha manure ni safu ya washambuliaji..wao wakali hapo kwingine kawaida ila winning mentality,fighting spirit,na taking responsibility na kocha wao MKALI SANA hataki ujinga ujinga mi naona kocha wetu ana uvumilivu usio na mipaka kwa baadhi ya underperfomers mpaka Fans wacharuke kwenye majukwaa nani angetegemea Andre Santos kucheza baada ya upuuzi alioucheza game ya Schakle pale Emirates?
AW awe mkali na anunue striker wa kumsaidia Giloud na msaidizi wa Kirean Gibbs, pia awe na game plan sio kupiga pasi na kuishia kudraw au kufungwa hata kushoot mbali napo hakuna? unaweza kujiuliza game yetu pale Old traford tulikwenda kucheza kushinda au kuchezacheza ushindi uje kama bahati?
Ukitazama vizuri kikosi kiko poa na hatuna vitoto kama previous seasons ila TACTICS zake nazitilia shaka kidogo na njaa ya makombe hata kama si UCL na EPL kuna FA na capital one arejeshe kujiamini mi naona players wengi wanacheza "for fun" sio kushinda chochote na hili ni jukumu la Manager nae aache kuwa kama politician akomae na pitch success
Fans wakiendelea na BOOS yeye atafanya kazi kwa presha na hapo ndo ata deliver hata medali ila kwa kurelax imeshindikana kwa 8 years ila bado si wakati wa AW kuondoka ila abadilike au akubali heshima yake iporomoke kwa royal fans
"Judge my team in may" imekuwa msemo wake ila tushaona nini hutokea top 4 finish sasa wasiwasi mkubwa tunazidiwa consistency mpaka na West Brom na Swansea city? Hapo mi sioni Gazidis na Stan wanaingizwaje hapo ilo la Wenger na Bould
swali: mbona timu ilikuwa inakaba yote game 5 za mwanzo za ligi sasa wameishia wapi?
Nakala kwa:
MwafrikaHalisi Rejao BAK Katavi Questt Wandugu Masanja Ulimakafu Richard Jaguar Wacha Balantanda na wote wana Arsenal hapa JF