Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Full Time

Arsenal 0-2

AIBU...............AIBU

Wenger anazomewa mpaka AIBU
 
Vipi Salama humu? nawasalimia tu hivi yule mchezaji anaitwa Michu au Macho? au yote mawili ni sawa? nauliza tu.
 
Nadhani msimu huu, babu ataondoka mwenyewe!

Lakini na Board inabidi ibadili msimamo kuhusu mishahara. Iwapo Arsene Wenger Yumo kati ya 5 top-paid managers duniani, timu hiyo hiyo inashindwa kulipa wachezaji.

Hapo ndio kuna weak link. Ameprove kuwa manager bila wachezaji wazuri haiwezekani kujenga timu ya ushindi.
 
Utabiri wangu umetimia....niliingia hapa mida ya mchana na nikasema Arsenal ya sasa ni sawa na Mavi ya mlevi wa gongo.

Na nikasema japokuwa leo tupo nyumbani lakini ni lazima tufungwe au tumejitahidi sanaaana basi ni droo kwa mbinde.

Naipenda sana club ya Arsenal lakini Arsenal hii ya miaka hii 5 iliyopita hadi hii ya leo ni wazimu na ni mavi matupu.

UTAKI UNAACHA
 
Mkuu, uliniona kama mnafiki au Kama taahira fulani. Je umeona kilichotokea?

Mimi siyo mshabiki....mimi ni mpenzi na mnazi mkubwa sana wa Arsenal
Mbona hakuna nilipokuita mnafiki mkuu wangu?.......

Nilichosema hapo juu ni kwamba tulikuwepo mashabiki wawili tu wa Arsenal online (mimi na wewe) na wengine walikimbia na kuamua kuwa guests.......Ndo maana nikawambia waje jukwaani, wasiogope
 
chelsea lost city tied...perfect day to pick up 3 points but no...WTF..:A S angry::target:
 
ubingwa sasa tutausikia kwenye radio tu(champion league) sijuwi Coach atasema tunapigania kitu gani kwani champion league ndio hivo tena
 

Attachments

  • b37f17712606fe7716b2c94ff8720333.jpg
    b37f17712606fe7716b2c94ff8720333.jpg
    32.7 KB · Views: 27
Back
Top Bottom