Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nilisema Arsene kafika mwisho na leo ameonesha
Timu ilikuwa mbovu pale kati na hakuna kitu kilichobadilika leo tumefungwa na possession mbovu bado Totte watufunge sijui mangapi
 
mkuu kama unamfutilia kwa uzuri utayaona haya 1.ball control yake iko hovyo 2.ball possession yake hairidhishi 3.pass zake hazina uhakika (mpotezaji mzuri wa mipira) mengine ongezea

Jamani kapiga bao mbili leo... Ana assist za kutosha .. kabisa...

He can not be van persie ndani ya msimu mmoja
 
Penati ya kubebwa,tatizo hata mkibebwa hambebeki
 
nilisema Arsene kafika mwisho na leo ameonesha
Timu ilikuwa mbovu pale kati na hakuna kitu kilichobadilika leo tumefungwa na possession mbovu bado Totte watufunge sijui mangapi

Mkuu possession yetu nzuri tu.. na hatukufungwa tumetoa draw.. magoli yote.makosa ya kiufundi tu.. moja ni kipa.golini ..nyingine penalty ya bahati.mbaya.. timu sio mbaya kama unavyodhani
 
Jamani kapiga bao mbili leo... Ana assist za kutosha .. kabisa...

He can not be van persie ndani ya msimu mmoja

nakubaliana na wewe hasa kwenye gemu ya leo amejitahidi ki ukweli japo kwa upande wangu bado sijamkubali kama mchezaji (striker) ambaye anaweza kui rescue arsenal but jaribu kumuangualia hasa kwenye mipira mirefu anapata shida sana kui control
 
Maamuzi mabovu ya refa yalitoa fursa kwa Arsenal Kushinda lakini wameshindwa kutumia nafasi hiyo, na hii ndo tofauti ya Man Utd na Arsenal, Man U hutumia vizuri nafasi kama hizo. Wake up Arsenal acheni kulalamika tu kila siku
 
ingekua ni man utd tumepewa penati hapo vijana wote humu ndani wangesema man u tunabebwa...wao wanabebwa na bado wanashindwa kuchukua advantage..
 
Penati ya kubebwa,tatizo hata mkibebwa hambebeki

:biggrin1: najaribu kupekua comments zao angalau nione kama kuna hata mmoja amekubali kua leo walibebwa ile penati ya mwisho na refa lakini wote kimya kama vile haijatokea :happy: uliona sura ya babu wenger wakati arteta kakosa penati? alikua kaumuka afu kawa wa pink....chezeya stress za arsenal
 
Dimitar-Berbatov-Arsenal-Fulham-Premier-Leagu_2858759.jpg
 
:biggrin1: najaribu kupekua comments zao angalau nione kama kuna hata mmoja amekubali kua leo walibebwa ile penati ya mwisho na refa lakini wote kimya kama vile haijatokea :happy: uliona sura ya babu wenger wakati arteta kakosa penati? alikua kaumuka afu kawa wa pink....chezeya stress za arsenal

Wewe sio kila.penalty kubebwa arsenal hatutegemea maamuzi ya.refa.. Yaani wewe ulempira hukuuona ulipodondokea mikononi.mwa. msela.yule..
 
naona kama nitapelekwa ICU mwaka huu
Hapa niko taabani moyo unaenda kuliko speed ya fan naona baridi na homa ya vipindi
Arsene kweli katutoa mbali lakini hapo karibu naona hatutofika,
Ilikuaje wachezaji wa maana ambao hatukutarajia kuondoka kwa maneno yao wenyewe leo hawapo na bado Walkot ndio hivyo
I say kuliko kuwa na mke mzuri aliyekuwa malaya kwani kila amsalimiye huwa ua una wasiwasi huenda anapewa miadi
Ikiwa itaendela hivi si muda tutagombana kule champion leag
 
ingekua ni man utd tumepewa penati hapo vijana wote humu ndani wangesema man u tunabebwa...wao wanabebwa na bado wanashindwa kuchukua advantage..

Wao ndio wana haki ya kupata penati bwana na za kwao huwa za haki siku zote.Wachovu hawa hawana jipya.
 
Wewe sio kila.penalty kubebwa arsenal hatutegemea maamuzi ya.refa.. Yaani wewe ulempira hukuuona ulipodondokea mikononi.mwa. msela.yule..

kweli goonerz mpira hamjui, kwa hiyo kila mpira unapogusa mkono ni penati sio? ingekua hivo si ungekuta kuna penati kwenye karibia kila gemu?
 
One problem solved, combination ya Olivier Giroud na Lukas Podolski inaanza kuwa nzuri wote wanafunga magoli, nyuma kidogo wameanza kasheshe ya kuwa too comfortable hasa tunapoanza kufunga. Manone wasi wasi mwingi ... ...

Szczesny atarudi rasmi mechi ya Spuds na yale magoli wanayotungua yataisha bado ni November .... .... ..... ..... msione kila headline na maneno kila siku yanahusu Gunners ... ... ni kwa sababu tunatisha na wapinzani hawalali usingizi kwa ajili ya husda. Mwaka huu mpunga wanaotumia watatoa sana na bado safari ni ndefu ... .... .. watch this space . ... ... ...
 
kweli goonerz mpira hamjui, kwa hiyo kila mpira unapogusa mkono ni penati sio? ingekua hivo si ungekuta kuna penati kwenye karibia kila gemu?

Babu mpira unakuwa ball to hand pale mikono inapokuwa chini .. unaponyanyua au kupeleka mkono. Uelekeo wa.mpira ni.penalty .. Nenda kaangalie ile footage tena .. Mbona mnataka.kulazimishwa tunabebwa😀 bana kama.manure .. Goners wakishinda siku zote ni soccer wamepiga na likakubali ...
 
Back
Top Bottom