Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa mbona fans wanazomea team wakati wa half time? mnatakiwa muwasupport sio kuwazomea...:biggrin1:
 
Wakubali wakatae pengo aliloliacha Alex Song ni kubwa sasa hivi kuliko lililoachwa na RVP. Mechi kama sita sasa tunazidiwa maarifa katikati kuliko kufunga magoli. Mikel Arteta naona anashindwa kuwika katikati sababu hana partner mwenye kiwango alichokuwa nacho Song.
 
Fulham wanavyo enyoy utafikiri wao ndo wana miliki emireti
 
Msimu huu tukishindwa kupata nafasi ya CL itakuwa jambo zuri kimaendeleo. Vizee vitaona umuhimu wa kumwaga pesa na kuacha ubahiri. Mrusi apewe timu amwage pesa, jamaa ni tajiri kuliko Roman Abromovich nina uhakika anaweza kuturudisha tulipokuwa miaka kumi iliyopita.
 
Tukubali tukatae ni uamuzi wetu lakini ukweli ni kuwa WENGER ameshindwa kudeliver akiwa Emirates!!!
 
Lakers wamemtimua Mike Brown na wamepata ushindi... japo walishinda hata game moja wakati Mike Brown akiwa Incharge... nasi tumchomoe AW???
 
Back
Top Bottom