Adebayor 1 - 0
nategemea sana update zenu manake mimi nipo safari naenda karatu na siwezi iona game ya leo.
Hope tutashinda na kikosi nimekisoma kizuri sana.all the best arsenal fans
Tupeni taarifa mnaoangalia mechi.
Ingekuwa totenham anacheza na Man U ile red ya adebayor wangesena SFA anahisika
Refaree Harold Web kiukweli hua anaonyesha kadi kwa sana. 1 ya mechi aliyoaribu ni fanal ya kombe la dunia kati ya spaio na Uholanzi kadi 13 za njano. Mpambano ndo ushavurugwa.