Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Huyu Arteta ni mpuuzi. Hilo pengo la Song halijazibwa. Timu ni nzuri sana ila haina 6!
Babu mpira unakuwa ball to hand pale mikono inapokuwa chini .. unaponyanyua au kupeleka mkono. Uelekeo wa.mpira ni.penaltyn .. Nenda kaangalie ile footage tena .. Mbona mnataka.kulazimishwa tunabebwa😀 bana kama.manure .. Goners wakishinda siku zote ni soccer wamepiga na lukakubali ...
Mkuu Viper, huyu kijana / bibi anayebadilisha majina kama kinyonga wala asikupe pressure bado anasumbuliwa na Romnesia ... ... we know this Dowd yupo kwenye pay roll ya bahasha alikuwa hana la kusema baada ya kumezea ile second yellow ambayo alikuwa apewe mchezaji wa cottagers lakini kwa sababu aligundua watabaki 10 akaamua kumpa Ramsey for absolutely nothing. Kila mtu alishangaa uamuzi ule, kama unavyojua tena prof siku hizi huwa halalamiki bali anaangalia tu, ona chacha jinsi wanavyomparamia Jack ambaye kacheza mechi tatu tu ... ... .. . hawapendi maendeleo ya Gunners lakini mwenyezi mungu si Athumani ligi bado mbichi kabisa hii .. .... ..... ....
Wazee wa clean sheet naona mnafanya mambo yenu! Arse fans: "Clean sheet is like winning the league".
Vipi Steve Bould, bado yupo?
Mkuu Viper, huyu kijana / bibi anayebadilisha majina kama kinyonga wala asikupe pressure bado anasumbuliwa na Romnesia ... ... we know this Dowd yupo kwenye pay roll ya bahasha alikuwa hana la kusema baada ya kumezea ile second yellow ambayo alikuwa apewe mchezaji wa cottagers lakini kwa sababu aligundua watabaki 10 akaamua kumpa Ramsey for absolutely nothing. Kila mtu alishangaa uamuzi ule, kama unavyojua tena prof siku hizi huwa halalamiki bali anaangalia tu, ona chacha jinsi wanavyomparamia Jack ambaye kacheza mechi tatu tu ... ... .. . hawapendi maendeleo ya Gunners lakini mwenyezi mungu si Athumani ligi bado mbichi kabisa hii .. .... ..... ....
Huyu Arteta ni mpuuzi. Hilo pengo la Song halijazibwa. Timu ni nzuri sana ila haina 6!
Jamani kapiga bao mbili leo... Ana assist za kutosha .. kabisa...
He can not be van persie ndani ya msimu mmoja
:biggrin1: najaribu kupekua comments zao angalau nione kama kuna hata mmoja amekubali kua leo walibebwa ile penati ya mwisho na refa lakini wote kimya kama vile haijatokea :happy: uliona sura ya babu wenger wakati arteta kakosa penati? alikua kaumuka afu kawa wa pink....chezeya stress za arsenal
----------------------------------------------------
Kwa hiyo siku hizi mchezaji akiunawa mpira ndani ya 18 sio penati au ni kwa Arsenal tu ndo mnadai haikutakiwa iwe penati? Tunajua Man utd kila siku mnabebwa, hilo ni dhahiri hata kipofu anaweza kuthibitisha.
Wakuu T5 alicheza nafasi ya Jenkinson majeruhi sio namba yake ile ... .. Manone hakuweza kufua dafu tu na Carz mpira umemkataa siku mbili tatu hizi ... ... msisahau greater London ina timu sita kwenye EPL chacha hizo ni derby point 30. So far tumepoteza point 4 tumeambulia point 4 point 22 bado hazina mwenyewe ... ... .... mpira unadunda ... .... ...
nasubiri kusikia kilio cha arsenal fans kesho wakati spurs wanaongoza 1-0 utasikia 'we want our arsenal back' sie tulio neutrals tutakua tunachekelea tuuu
Amina!nasubiri kusikia kilio cha arsenal fans kesho wakati spurs wanaongoza 1-0 utasikia 'we want our arsenal back' sie tulio neutrals tutakua tunachekelea tuuu
Arsenal XI: Szczesny, Sagna, Per, Koscielny, Vermaelen (c), Arteta, Wilshere, Cazorla, Walcott, Podolski, Giroud. Come on you Arsenal