Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakers wamemtimua Mike Brown na wamepata ushindi... japo walishinda hata game moja wakati Mike Brown akiwa Incharge... nasi tumchomoe AW???

Kwa mtizamo wa mashabiki wa Arsenal huko ulaya mwisho mwa msimu kutakuwa na jambo baya sana litatokea Mawili AW aondoke! Ama Malengo ya Board yabadilishwe kwa Pressure ya Boycott ya mashabiki

AW hana malengo na ushindi wa kombe lolote na Mbaya zaidi wachezaji hawajitumi kwani MOTIVATION hakuna kbs
 
Kuna haja ya vile vizee vya Emirates kubadilika na kufanya maamuzi ya maana kwa club, wamtimue kocha tu au tuiuze club imilikiwe na mtu mmoja atakayekuwa na machungu nayo. Haya masuala ya ujamaa kwenye soka wala hayana tija!!!!
 
PLAYERS may be wanajiuliza tujitume ya nini? Board na Manager wanahitaji UCL spot peke yake! no Ambition from Arsenal Administration hapa RVP alikuwa sahihi kbs
 
Giroud sio Tatizo... hana Supply....

mkuu kama unamfutilia kwa uzuri utayaona haya 1.ball control yake iko hovyo 2.ball possession yake hairidhishi 3.pass zake hazina uhakika (mpotezaji mzuri wa mipira) mengine ongezea
 
mkuu kama unamfutilia kwa uzuri utayaona haya 1.ball control yake iko hovyo 2.ball possession yake hairidhishi 3.pass zake hazina uhakika (mpotezaji mzuri wa mipira) mengine ongezea
4. Kalegea sana
 
Back
Top Bottom