Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hongera bana majirani! mmefanikiwa ku expose all our weakness kama kawaida yenu .. fair play manure ni best team kwa leo

kwenye kusifia unasifia i like that bora wewe umekua mkweli kuliko mwenzako hapo anaanza kumlalamikia refa...mnanishangaza sana...wenger angemtoa wilshire kama fergie alivomtoa cleverley na mnabahati kipa wenu amewasave leo maana rvp, valencia wamekosa magoli mengi tu, rooney amekosa penalty nyie mna bahati leo...another game gone...champions league next!!
 
tunawasubiri emarates.... :becky:

mtoto wa mjini atakuja na copy paste yake hapa kutumuumiza
 
arsenal fans wameimba leo 'we want our arsenal back' sijui walikua wanawaimbia board yenu au arsene wenger
 
Wenger hana umuhimu wa kuja uwanjani siku ya mechi, akae nyumbani kwake na mke wake watizame mechi kwenye TV.

Haiwezekani kocha unashindwa kubadilisha mbinu ya mchezo kutafuta ushindi unaangalia tu meli inazama.
 
tunawasubiri emarates.... :becky:

mtoto wa mjini atakuja na copy paste yake hapa kutumuumiza

:biggrin1: nyie wala hamnisumbui kichwa niliwaambia toka last week kua tutakua tunapitia kwa SANTOS sijui kwanini mnamchezesha yule jamaa he's the worst brazillian player i have ever seen...na hamu tungekua tunacheza na nyie every week :happy:
 
Timu hii imejaa ujanja ujanja,leo imecheza km ya mchangani hata goli lao mchezaji kafanya juhudi binafsi.
 
kwenye kusifia unasifia i like that bora wewe umekua mkweli kuliko mwenzako hapo anaanza kumlalamikia refa...mnanishangaza sana...wenger angemtoa wilshire kama fergie alivomtoa cleverley na mnabahati kipa wenu amewasave leo maana rvp, valencia wamekosa magoli mengi tu, rooney amekosa penalty nyie mna bahati leo...another game gone...champions league next!!

haha! haya bana shujaa wewe leo

mkuu kashengo mi bado nalia na defence yetu! sometimes inacheza fresh sometimes ina bore sanaa! tukimuweka kozer hakawii kujifunga....

pia mbele pale tumekosa poacher mzuri wa mabao....!

hivi kwanini wenger hamfikirii Ba wa newcastle .. 7M tu!
 
:biggrin1: nyie wala hamnisumbui kichwa niliwaambia toka last week kua tutakua tunapitia kwa SANTOS sijui kwanini mnamchezesha yule jamaa he's the worst brazillian player i have ever seen...na hamu tungekua tunacheza na nyie every week :happy:
Leo nakuunga mkono pal!
 
Tatizo kwa mechi ya leo ilikuwa pale katikati Carz, Arteta na Jack hawakuweza kumudu hivyo kuwa na mashambulizi ambayo ni kama sifuri. Goli la kwanza la Manure ni bahati kwa sababu T5 ambaye pamoja na kuteleza mpira ulimkataa. Ligi bado ndefu sana . ... .... ... Poldoski hakuonekana leo kutokana na kuwa na service mbovu tunawasubiri Emirates ... .... bali wache kuwanunua waamuzi goli la pili lililotokana na kona Judas alikuwa kaotea ... ... Aibu kwa Manyu kubebwa na mbeleko.
 
Leo tulikua wabovu kupita kiasi. Man united hawakutisha vile wwamecheza mpira wa kawaida tu.

Tumecheza kama tuko mazoezini, sikuona nia kabisa ya ushindi.
 
kwenye kusifia unasifia i like that bora wewe umekua mkweli kuliko mwenzako hapo anaanza kumlalamikia refa...mnanishangaza sana...wenger angemtoa wilshire kama fergie alivomtoa cleverley na mnabahati kipa wenu amewasave leo maana rvp, valencia wamekosa magoli mengi tu, rooney amekosa penalty nyie mna bahati leo...another game gone...champions league next!!
Yeah.....Namlalamikia refa na pia nawasifu Man Utd kwa mchezo mzuri licha ya Refa kuonesha mahaba....

Na hiki ndicho nilichokisema awali.....

Pamoja na kwamba timu yetu ni DHAIFU sana leo.......Bado namlaumu sana Refa....Yupo bias....

Hakukuwa na umuhimu wa kumpa Red Jack........Mbona RVP ana yellow na kuna muda ilikuwa offside refa kapiga filimbi yeye kabutua mpira kuelekea wavuni......Hii ilikuwa ni 2nd yellow =red card....

Hata penati ya Carzola haikuwa sahihi kwa mtazamo wangu mimi Bala.......Hivi haujaona kumtoa Jack ndio kumeidhoofisha timu ambayo ilikuwa ikirudi kwenye fomu baada ya Walcott kuingia?....

Halafu, kwa nini mechi za karibuni za Man Utd lazima wapewe penati na mchezaji wa timu pinzani apewe red card ambayo ni unnecessary.....

Btw .......Hongera sana kwa pointi 3

Giroud anakosa goli la wazi
 
haha! haya bana shujaa wewe leo

mkuu kashengo mi bado nalia na defence yetu! sometimes inacheza fresh sometimes ina bore sanaa! tukimuweka kozer hakawii kujifunga....

pia mbele pale tumekosa poacher mzuri wa mabao....!

hivi kwanini wenger hamfikirii Ba wa newcastle .. 7M tu!

demba ba wa nini wakati mnae theo walcott ambae wenger hataki kumchezesha kama striker..tatizo lenu ni midfield na defence leo vahm alikua kama vile anachezea costal union mna some average players kwenye timu yenu na wenger anawaweka kwa sababu anawalipa hela ndogo, top top players would want 70000pounds plus na wenger alivo mbahili kama mchaga hatoi hiyo hela
 
haha! haya bana shujaa wewe leo

mkuu kashengo mi bado nalia na defence yetu! sometimes inacheza fresh sometimes ina bore sanaa! tukimuweka kozer hakawii kujifunga....

pia mbele pale tumekosa poacher mzuri wa mabao....!

hivi kwanini wenger hamfikirii Ba wa newcastle .. 7M tu!

Defense ilikuwa SOLID mechi 4 za mwanzo ila kwa mujibu Legend wa Arsenal mmoja anadai kuna kutokukubaliana katika approach za mechi kati ya Wenger na Bould ikumbukwe kuwa Arsene` anapenda "ATTAKING FOOTBALL" na Total football ni approach ya Bould

Arsene kama Daglish old success is behind him yule mzee hana mpya we Timu gani kushinda mpaka ikae na mpira 60% alafu imagine kwanini kampanga SANTOS? Arsene is our main problem and I wonder Cazorla thinks what a hell did i come here?
 
Fagason ni mjanja sana hasa kufanya sub,game na Chelsea baada ya kuona Rooney kapata yellow card akamtoa mapema na leo alifanya hivyo kumtoa Cleverley,nashangaa kwa nini tangu Jack Wilshere amerudi mmekuwa mnajikongoja sana katikati
 
Back
Top Bottom