Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
mashabiki wa arsenal vipi salama hapa?nawaona hapo chini mko online 12 members lakini kimyaaaaa!anyway nisaidie kunipa jibu la swali langu hili
.....mmejisikiaje VAN persie kuwafunga??????how does it feel?nijibuni tu hata kama maswali yangu yanakera!ndio ushabiki huo mtafanyeje sasa!answers please.
hata tukija kufungwa na timu kutoka championship .. cocacola cup.. tutabaki goners daima...
once a goner always a goner...
COYG