Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Giroud Wenger anamlazimisha tu,lakini hayuko tayari kuanza
Kwa nini Mr, Bean hakumtoa Wilshere mapema,mwenzie Fegi kawahi kumtoa Cleverley
Ukweli ndio huo.........Japo unauma....Hatuwezi kumaliza trophyless msimu huu mkuu, kuna kombe jipya la Wenger la ku-qualify champions league
Ukweli ndio huo.........Japo unauma....
This is the same old Arsenal.......Hakuna jipya.....
Mbinu ni zilezile, aina ya wachezaji ni walewale na Arsene Wenger ni yuleyule anayewang'ang'ania wachezaji wa aina ya Ramsey na Santos(ambaye anakimbilia na kuomba jezi ya mpinzani wake RVP Half Time, yeye anawaza jezi tu,no wonder kawa uchochoro leo) hata kama wanachemsha.....
Dakika ya 80 hiyo
Man Utd 2-0 Arsenal
Tuombe Mungu tumalize hivihivi bila kuongezwa magoli mengine ikawa fedheha
Pamoja na kwamba timu yetu ni DHAIFU sana leo.......Bado namlaumu sana Refa....Yupo bias....Balantanda ,still unamlaumu refa? kwa hiki kiwango chenu karibuni kinatia kinyaa ukweli
Babu Wenger kwa kweli kaishiwa mbinu.Viper, Balantanda Questt Katavi MwafrikaHalisi Jaguar Wacha1
Jamani wenzangu hapa tulipo tuna timu nzuri Ila kwa mtizamo wangu HATUNA kocha "MKALI" ni tofauti ya AW na Fergie iko hapo na Tukubali tukatae kocha wetu modern game tactics zimemshinda kuzi adopt
Yani mi naona anajali sana Posession kuliko ushindi inanikhera sana hii tabia yake hata mkiniona msaliti ARSENE anauwa timu
Hii itakua aibu tukimaliza mpira bila short on target