Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

You can't win all matches, vijana wengi walikuwa off leo. Tuangalie mechi zinazokuja naona walitukamia sana leo watakuja Emirates.
 
With this move then this season is as good as other seasons... TROPHYLESS> Cause if u cant beat the Big teams and still u cant take three points where u were suppose to take them then we r never Title contenders.....What a poor game was this??? We still have players whose form fluctuate game inn game out.... The likes of RAMSEY, GERVINHO, GIROUD etc..... Arsenal is a BIG club and hence must have Big name players.... Players who can dig us out whenever we fall in the pit..... U SE NGE mtupu......

Tunacheza na 4-5-1 mpaka na Norwich? Haya bora huyo CF awe anakaa na mipira anajituma....mfumo wa kioga huu...kweli UNGESE mtupu
 
Wed tunacheza na Schalke 04 Emirates... Nimeangalia game yao na BvB leo na wameshinda 2-1. Jamaa wapo vizuri. That Afellay is so good.... Kwa mwendo huu tutachezea mvua ya magoli.... It PAINS kinyama kuona form inyumba yumba namna hii.... Hakuna mchezaji atadumu Arsenal... Upuuzi ni mwingi mno....Zitakuja game mbili tatu watacheza vizuri na publicity mlima... Kifupi there is no CONSISTENCY kwenye hii team....
 
kweli unayosema lakini lazima ujiulize half time kwanini timu kama hii inatupa taabu ndio utagundua formation yetu imekamatwa nini tufanye tubadilishe baada ya half time
 
The same old story.....

Another trophyless season in the making..........

Kuwa shabiki wa Arsenal inahitaji moyo wa chuma.......

Nishazoea mie..................Japo INAUMA

Pole mtani wangu bora ujizoeshe haya maumivu, sihitaji kukuambia uhamie "airtel" isipokuwa huku nyumbani najua mambo burdaaani kabisa, angalau una cha kujivunia.
 
japo ni mapema lakini ndio mda wa kijipanga kupoteza gemu kama hizi ni kujipotezea matumaini ya kufanya vizuri baadaye kama si kuchukua ubingwa wa epl vinginevyo tutegemee msimu mwingine wa kupigania nafasi ya kucheza uefa tu na si vinginevyo anyway tujipange kwa gemu ijayo
 
Hapo kwenye rangi ni ukweli mtupu.

Wed tunacheza na Schalke 04 Emirates... Nimeangalia game yao na BvB leo na wameshinda 2-1. Jamaa wapo vizuri. That Afellay is so good.... Kwa mwendo huu tutachezea mvua ya magoli.... It PAINS kinyama kuona form inyumba yumba namna hii.... Hakuna mchezaji atadumu Arsenal... Upuuzi ni mwingi mno....Zitakuja game mbili tatu watacheza vizuri na publicity mlima... Kifupi there is no CONSISTENCY kwenye hii team....
 
sie tukifungwa hamcheleweshagi bora niienjoy zamu yangu, kazi bado sana ndio kwanza game 8, mtafika game 35 kweli?

Ubaya ni hizo Draw tulizopata zimetupeleka chini...kama kufungwa ndo tushafungwa two games kama nyie manure...i expect a cracker between you and Blues next weekend
 
naona soft gunners mmeanza kukata tamaa kutokana na shinikizo la mamluk but all n all i'm keepng faith matokeo kama haya c ya kulaum sana hasa kw kuangalia jinc opponents we2 walivyocheza; n real sense they played defencvly and defended well dats why they won
 
Ukweli ndio huo.........Japo unauma

Zaidi ya hapo ni kujifariji tu ........

Bingwa wa mwaka huu ni Chelsea......

Arsenal tutapata tiketi ya kushiriki UCL......Huo ndio ubingwa wetu for the last 6 seasons........INAUMA

sio kwamba najifariji mkuu bado mapema .. ntakuja kukumbusha mbeleni na hii post ... game kama hizi hutokea sio kwa arsenal tu kwa timu zote!... huu ndio ukweli mkuu bala
 
Niko die Hard lakini mwenzangu umenizidi endelea hivyo hivyo mwayego

sio kwamba najifariji mkuu bado mapema .. ntakuja kukumbusha mbeleni na hii post ... game kama hizi hutokea sio kwa arsenal tu kwa timu zote!... huu ndio ukweli mkuu bala
 
Poleni sana sijaangalia game lakini kutokana na coments zenu inaonesha mlikamatwa kweli,hii ndio EPL
 
Back
Top Bottom