Mkuu ni uzembe tu wa wachezaji na ukaidi wa AW kuwang'ang'ania Gervinho , Giroud na Ramsey ambao hakuna lolote walilofanya uwanjani leo zaidi ya kutugharimu....
Ngoma imelala hii.......
The same old story.....
Another trophyless season in the making..........
Kuwa shabiki wa Arsenal inahitaji moyo wa chuma.......
Nishazoea mie..................Japo INAUMA
Bila kitafuna maneno. Leo tumekamatwa ..
Adi Liverpool leo wamewashinda...
Wachumba wa chelsea poleni kwa kuchumbiwa leo...