Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukweli ndio huo.........Japo unauma

Zaidi ya hapo ni kujifariji tu ........

Bingwa wa mwaka huu ni Chelsea......

Arsenal tutapata tiketi ya kushiriki UCL......Huo ndio ubingwa wetu for the last 6 seasons........INAUMA

Mkuu mi nimeumia sana na perfomance ya jana, tungeweza kufungwa goli zaidi ya moja. Nothing we did wen't well. But then, ni mapema sana kuconclude msimu sasa hivi. Si kwetu wala kwa Chelsea anayeongoza. Hii ni EPL sio La Liga.

I hope the players take yesterday's result as a wake up call.
 
nilichocheka jana ni kua jana ilikua ndio game ya kwanza norwich wame keep a clean sheet :happy: aibu.. kufungwa msijali sana...cha kuogopa ni draws..angalieni liverpool wanavotoaga draws mara nyingi kila seasons ndio maana hata ucl hawaijui.. mi niko tayari tufungwe game moja tushinde zingine tatu kuliko kutoa draw game 3....season ilivyoanza mlikua mnatucheka tulivyofungwa game letu la kwanza na everton nyie mkawa mnasema kua mko unbeaten kisa mnatoa draws haya draws zimewapeleka wapi? sie tumefungwa na bado tuko wa pili...

huyu chelsea wala haniogopeshi..walishaanzaga kwa kasi enzi za ancelotti hivi hivi lakini msimu huo tukashinda ligi sie...season ni 38 games na sio 8 games...bt tayari gap kati yenu na league leaders ni 15pts so u better start pickin up points soon
 
article-2220554-15994160000005DC-307_634x426.jpg


Holt from the blue: The Norwich skipper (right)
celebrates his early goal


Lucky goal from a third choice goalkeeper. Tutaendelea kuchechemea hadi Diaby, Jack pamoja na Rosicky watakaporejea hapo ndipo watakapojua kilichomtoa kanga manyoya ... ... ... naona wapinzani wanachekelea baada ya kupoteza hiyo mechi ... .... bado kuna point 90 tunaziwania.

Next game Emirates ... .... .... J5 CL bila kusahau tunarudi kwenye UTC Ooops zamani GMT kuanzia kesho hivyo Gunners msisahau mnaweza kukuta kitale hakijaanza ... .... .... ... ...
 
...cha kuogopa ni draws..angalieni liverpool wanavotoaga draws mara nyingi kila seasons ndio maana hata ucl hawaijui..
Upo siriaz au unatania? Uliza wanaongoza kuchukua UCL huko England ni timu gani...
 
Upo siriaz au unatania? Uliza wanaongoza kuchukua UCL huko England ni timu gani...

unajua hata ac milan wameshashinda UCL mara nyingi..embu waangalie kwenye ligi yao saivi wako wangapi...4th from bottom...unajua hata leeds utd ilishashinda european cup wako wapi sasa hivi
 
arsenal hamjamboooooooo!kiwango anachopiga chelsea sasa hivi ingekuwa mnapiga nyinyi arsenal sisi man utd tusingelala kabisa!dah
 
when the hopes of arsenal fans are on jack wilshire making his come back then you know arsenal are in real trouble
 
DAYS SINCE
Chelsea failed to score away in the Champions League: 685
Shakhtar lost at home in any competition: 335
Arsenal won a trophy: 2,712
Liverpool won the league: 8,207
 
article-2221967-15A41BC7000005DC-226_634x359.jpg


Focus:
Arsene Wenger and Ramsey speak during their press conference
ahead of the Schalke clash

 
Wakuu mambo yako sawa kabisa vijana wako ready kukwaana na hawa Wajerumani .... ..... .... bila shaka wala hofu utakuwa mtanange wa kukata na shoka, natumaini kuwahi kuweka picha baada ya kabumbu .... .... .... .. wanoko ooops machabiki koko waliokimbia jana kwenye timu zao, I do not mean Invisible 's, Mungiki brother or Peas of ants let alone Belo, Manda, Mfarisayo or BJ watakuwa tele kama pishi la udaga, bahati yao nitakuwa uwanjani lakini tutapambana nao tu baada ya mechi. OOps Rev. Kishoka are you alive?

Gunners forever ... ..... .... Prof. atamaliza kifungo chake leo cha three match ban hivyo mikoba yote kaachiwa
Bold ... .... ... .... ....
 
Back
Top Bottom