Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man of the match- Nampa Santiago Cazorla.

Cazorla ni mwepesi, ana uwezo wa kuwachambua mabeki watano na kutafuta nafasi kwa wenzie au yeye peke yake.

Awapo na mpira unajua kwamba kuna shughuli kwenye sehemu ya midfield.

Top Class.
 
Game nzuri vijana wanakiwango cha kumfunga yoyote
 
Hongereni sana wachumba zetu...nice game nice play nice goals.
Point of correction mr. Viper: ...except Chelsea, the champions of Europe.
In other news, midfield ya Westham mbovu kupindukia...
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana wachumba zetu...nice game nice play nice goals.
Point of correction mr. Viper: ...except Chelsea, the champions of Europe.
In other news, midfield ya Westham mbovu kupindukia...

mkuu ni kawaida msimu huu toka uanze arsenal tukicheza na timu yoyote lazima hiyo timu ionekane ina midfield mbofumbofu sababu ya kiwango chetu cha juu!...

game yetu na chelsea nilicheki recorded mabao yenu yote ni fluke ! tutakuja darajani .. kwani msimu uliopita tulikuchapia darajani goli 5
 
Hongereni sana wakuu kwa ushindi, mechi hii sijaiangalia nilikuwa na ubusy fulani but nimefarijika kwa ushindi manake hawa wagonga nyundo huwa ni wasumbufu sana kwa timu yetu!!!!!
 
Wakulu West Ham wamekula mkong'oto
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee tinachubiri wanoko waje chacha ....
24 points from the derbys waiting ... .... ....
 
We acha tu BelindaJacob sasa hivi team imepata confidence ya hali ya juu hata mechi za Chelsea na MANC tungeweza kushinda. Inatia moyo sana ila tuombe Mungu tusiwe na majeruhi ya kutisha na ya muda mrefu tukiweza kuepuka hilo....then anything is possible. Wakuu msisahau leo baada ya mchapo wa MANU na Newcastle kuna mchapo mwingine wa nguvu kati ya Real Madrid na Barcelona ambao utaanza 8.50pm EAT.

congrats wakuu, sikucheki full match ila sikumkosa Gary Lineker kwenye match of the day!! mnatisha gunners!!
 
Last edited by a moderator:
splash_cesc_1597062a.jpg

Caz Caz Caz .... ... Santi ... .... .....ni zaidi ya Cesc ... .. Gunners hao ..... ...
Next Norwich away hapo tarehe 20 baada ya wiki mbili za internationals ... ...
 
We acha tu BelindaJacob sasa hivi team imepata confidence ya hali ya juu hata mechi za Chelsea na MANC tungeweza kushinda. Inatia moyo sana ila tuombe Mungu tusiwe na majeruhi ya kutisha na ya muda mrefu tukiweza kuepuka hilo....then anything is possible. Wakuu msisahau leo baada ya mchapo wa MANU na Newcastle kuna mchapo mwingine wa nguvu kati ya Real Madrid na Barcelona ambao utaanza 8.50pm EAT.

Eti tungeweza kushinda.... Nyie mnawafunga vibonde ambao wako bottom half of the league mkikutana na wanaume wa soka mnachemsha
 
Back
Top Bottom