Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nimependa sana style ya ushambuliaji ya WH kwa jinsi wamavyotumia mipira mirefu
 
Nimepita kutia gundu mtaa huu....leo lazima mfungwe tu.
 
That one last killer Ball is what we hava been missin this 2nd half.....
 
Haka kajamaa haka.......kametutoa hapa.... WALCOTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT
 
Dah............

Uzembe wa mabeki huu...............Nolan katukosakosa
 
Back
Top Bottom