TV5 - Defender mzuri
Boss kozer - defender mzuri
TV5 + Boss kozer NOT SO GREAT sikuhizi .. what happened kwenye hii combination?
Wakuu Balantanda, BAK na Viper tatizo kubwa la arsenal wanakimbilia kushinda possession af magoli hakuna....
Wanasahau watu wanataka magoli hiyo possession kubwa ni matokeo tu...
Wakuu Balantanda, BAK na Viper tatizo kubwa la arsenal wanakimbilia kushinda possession af magoli hakuna....
Wanasahau watu wanataka magoli hiyo possession kubwa ni matokeo tu...
Hiki kikosi cha leo nikizur. Naamini watarudi tu!Seriously?????? I never saw that Coming.......Bado ukuta unavuja.... Huu ni uNGE!!!!!!! haya 1-0.... wanapaki basi ngomba isambe....