Santiago Cazorla Gonzalez
Santiago Cazorla Gonzalez
Eti tungeweza kushinda.... Nyie mnawafunga vibonde ambao wako bottom half of the league mkikutana na wanaume wa soka mnachemsha
congrats wakuu, sikucheki full match ila sikumkosa Gary Lineker kwenye match of the day!! mnatisha gunners!!
Nyinyi ndo mmecheza na wanaoongoza ligi wote na hamjapoteza mechi. Hongera
Napia wamefungwa idadi ndogo ya magoli
[h=1]Jacks back with a bang[/h]ON THE BALL ... Jack Wilshere bosses things in just second outing in 14 months![]()
jamani tupige makofi na vigelegele, marehemu amefufuka...amefufuka kweli kweli....ohoooo...uwiiiiiiiiiii....lililililiiiiiiiii :biggrin1::happy:
Eti tungeweza kushinda.... Nyie mnawafunga vibonde ambao wako bottom half of the league mkikutana na wanaume wa soka mnachemsha
Nimefuatilia posts zako za mwanzoni ulivyoanza kuchangia kwenye hii thread, kwa 100% ulikuwa Arsenal fan. Gafla ukaanza kujidai wewe ni man U!![h=1]Jacks back with a bang[/h]ON THE BALL ... Jack Wilshere bosses things in just second outing in 14 months![]()
jamani tupige makofi na vigelegele, marehemu amefufuka...amefufuka kweli kweli....ohoooo...uwiiiiiiiiiii....lililililiiiiiiiii :biggrin1::happy:
Hahahahaaah!! Umemstukia eeeh! Jamaa kweli anashindwa kabisa kuficha hisia zake.Nimefuatilia posts zako za mwanzoni ulivyoanza kuchangia kwenye hii thread, kwa 100% ulikuwa Arsenal fan. Gafla ukaanza kujidai wewe ni man U!!
Nitakuletea posts zako baadaye, huwezi ficha hisia zako!!
Hahahahaaah!! Umemstukia eeeh! Jamaa kweli anashindwa kabisa kuficha hisia zake.
isay vipi Walcott anaendeleaje na matibabu?
Hakuumia sana. Just bruises, will be out for 2 weeks.