Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee............ Kishawaka hiki....... Santiago Cazorlaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dakika ya 84 Gunners 3 W Ham 1....Mkuu Mentor umeyaamini maneno yangu?
 
Last edited by a moderator:
Wakulu, Santiago Cazorla amethibitisha kwamba ni moto wa kuotea mbali. Theo Walcott alimpa pande na Cazorla akapiga shuti kali likaingia upande wa kulia wa kipa wa West Ham.

What a goal!

7 points behind Chelsea.
 
Wakulu Santiago Carzola amethibitisha kwamba ni moto wa kuotea mbali. Theo Walcott alimpa pande na Carzola akapiga shuti kali likaingia upande wa kulia wa kipa wa West Ham.

What a goal!

7 points behind Chelsea.

S.C huyu jamaa ni balaa yaaani bonge la jembee
 
Back
Top Bottom