Per katupia leo
giroud naye katupia goli dk 90' kufanya matokeo 1-1 na spain

England na poland ! naisubiri kwa hamu sana ...
watatoa droo maana waingera zao magazeti...
sidhani.. mi naona hii game lazima mmoja apigwe.. Poland wana advantage ya home ground ...
wajerumani jana walinisikitisha sana... goli nne zimerudi hivihivi

SenselessWhat do you expect when you have a defender like Per Mertesacker?!
What do you expect when you have a defender like Per Mertesacker?!

Game saa ngapi?
kwa saa za bongo huko nadhani itakuwa saa moja na nusu usiku!