Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta akiumia sijui ni nan wa kukava nafasi yake ya holding midfielder! Coquelin na Diaby siyo wakutegemea kabisa! Strikers ni kama hatuna kabisa, maanake tunawategemea Giroud na Chamakha kwa sasa. Still nina wasiwasi na kikosi cha sasa!!
But all in all Wenger knows!!

Rejao hapa umeteleza...sie mashabiki tusha athirika kisaikojia kwa kweli...Coquellin akipata nafasi atafanya vizuri anajua dogo...the same question tulikuwa tunalisema wakati Almunia ni no. 1 akaumia Sczecny akachukua namba sasa hatutaki aondoke...hata game ya Stock watu walivyomuona Mannone golini wakaanza kuguna!

Oxlade chamberlain wakati ananuliwa kila mtu alishout vya nini vitoto? Sasa asipokuwepo bench tunasikitika

Kumbukeni mfumo wetu ni 4-3-3 ambao viungo watatu, wawili wanakaba na mmoja anacheza Free role i.e Santi Cazorla

Rejao unakumbuka mwanzoni mwa season 2007-2008 arsenal walimnunua Lass Diarra na tulilalamika kwanini AW anamweka Benchi Gilberto Silva na anampanga Flamini? Baadae huyo Gilberto tukamwona Flop

Makocha wanajua Arsenal sio kama City pale amenunuliwa Maicon na kuna Zabaleta na Richards mpaka unaona kocha anasajiri kwa Woga

hata jana Spurz wamemsajiri Hugo Lrois na wanae Brad Frieder,carlo cudicini na Huberto Gomez

Mi naamini pale kati patazibwa na hatutaamini maana akina Frimpong na Wilshere watarudi soon
 
Umenena vyema mkuu. Watu wanamdharau Coquelin lakini wanasahau kina Song/Wilshere waliibukaje. Mi kwa jinsi ninavyoona, Coquelin angekua anaanza badala ya Diaby ili Arteta asogee mbele kidogo. Diaby ni mzuri lakini anapoza sana mpira, sitegemei atarudi form ghafla lakini yuko slow. Lakini Coquelin ana kasi ana kaba muda wote hana masihara. Nadhani mechi za FA na Carling zitatoa nafasi kwake na kubadili mawazo ya Wenger japo ampe nafasi kwenye EPL kama ilivyokua kwa Chamberlain.

Tumecheza mechi mbili tu, lakini watu wanalaumu kuwa fowadi zetu mbovu. Nadhani hata Wenger aliwakumbusha, Henry alipohamia EPL hakufunga goli mpaka November.

Mi nina hakika goli zitakuja na hao mnaowabeza mtaanza kuwaona Miungu watu.
 
Strikers ni kama hatuna kabisa , maanake tunawategemea Giroud na Chamakh kwa sasa.

Kwahiyo Giroud unamweka level moja na Chamakh? I don't know, maybe I'm watching soccer the wrong way. Ila nina hakika kuna siku ntakuja kukukumbusha hiyo kauli yako.
 
essien made the right choice by joining real madrid over arsenal...He wants to win la liga he wants medals and trophies something you would never achieve playing for arsenal..
 
Essien did not have to choose between Madrid and Arsenal. He was offered to different clubs including Arsenal for a season long loan. Arsene never wanted him. Tatizo unasikiliza local radios na habari zisizo na uhakika.

John Cross [MIRROR UK] on Twitter - " johncrossmirror
My understanding is that Arsenal were offered Essien - and not the other way round. They politely
declined but was never on today's agenda"
 
Last edited by a moderator:

What? Arsene did not want him? So arsenal wana midfield nzuri kiasi ambacho hawamuitaji essien? Walimchukua yossi benayoun on loan frm chelsea... Mnamsubiri abou diaby na jack wilshere ndio wacheze champions lg fa cup capital one cup na premier lg.. Nyie mnacheza sana
 
Huu msimu utakuwa mgumu sana kwa Walkott manake ametishia nyau, linalofuata ni benchi tu na dogo oxlade-Chambarlain anachukua namba hiyo!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huu msimu utakuwa mgumu sana kwa Walkott manake ametishia nyau, linalofuata ni benchi tu na dogo oxlade-Chambarlain anachukua namba hiyo!!!!!!

Oh yes! Chamberlain anaanza kesho. Ila sijajua at the expense of Diaby au Walcott (he also plays CM). Szczesny hajapona. Mannone golini.
 
Last edited by a moderator:
Arsenal subirini mpata kipigo toka kwa liverpool ndio muanze kujipanga upya bado hamja pata starter
 
Dalili zote zinaonyesha kuwa leo ni lazima tutafungwa na Liverpool siyo chini ya goal 3.
Kwa hii mechi ya leo huitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji kwenda kupiga ramli...ukweli ni kwamba hatutoki.
Yaani tumejitahidi sana labda droo....lakini twaweza fungwa goal 3-1 au goal 2-1. Utaki unaacha
 
aah wapi wala usiogope kihivyo...liverpool wana only one senior striker...wamemtoa andy caroll bila kufikiria kumleta mwingine..mkimkaba luiz suarez basi hakuna kitu pale..gerald ashazeeka...nyie pale mkicheza game lenu vizuri mnashinda..
 
Good afternoon gooners.. about three hours left till game time. Good luck to us..cheers
 
Back
Top Bottom