RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 169
wana arsenalplasticfans.com wanataka anunuliwe Lionel Messi
If 4th place is a trophy for you ....OK. Chini ya Wenger + Kroenke = Empty cabinets
wana arsenalplasticfans.com wanataka anunuliwe Lionel Messi
Kaka Nuri sahin ni average player???? are watching football? haya hao Tottenham wamemkomalia Modric yako wapi? kagomea mazoezi sasa je huyo atakuwa form kweli?? Ebu nitajie wachezaji waliouzwa na Arsene wenger bila wao kutaka....give me the List please
wao wanadhani world class player lazima anunuliwe kwa bei mbaya! sana.. haha
Jamani, ndugumbona mwagombana hivyo? Kipute si ndio bado kibichi na jana ndo safari mpya imeanza?
Mkuu.. hehehe! naona leo mmeshinda umejitokeza jukwaani! ... za kitambo bana..?! Goners sisi wote dugu moja hatuwezi kugombana!...
enjoy ead!
Minal faidheen kaka; Enjoy your Eid, and be blessed.
kaka tatizo la plastic fans hata ukijaribu kuwaelewesha hawaelewi wanasoma sana magazeti ... hawa hawa wanaowaita average players wakija kuuzwa wataanza tena kulalamika we are selling our world class players!
kaka nakutakia ead mubarak! .. nasubiri game ya chelsick!
Belo uko serious?......
Yaani unampima Giroud na mechi moja ya jana tena na Sunderland ambao siku zote game yao ni kudefend kiasi cha kumfananisha na Chamakh?........
Song kalilia mwenyewe kwenda Barca na board ya Arsenal kwa jinsi ilivyo na uchu wa fedha ikaamua kumuuza kwa pauni milioni 15......
Huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaifuatilia/izungumzia sana Arsenal kiasi hata cha kusahau mechi za timu zao wanazoshabikia na badala yake wanaangalia mechi zinazofuata za Arsenal na kuangalia nini rsenal watafanya katika mechi hizo?......Yaani ukiangalia humu JF thread ya Arsenal ndo inaongoza kwa kuwa na page na post nyingi(kuna page karibu 1040 na post zaidi ya 21000) ilhali thread za vilabu nyingine zinasuasua.......Inashangaza kweli.....
Kama unasoma posts zangu utajua nilisema kua man u are the most profitable club in the world na sio tu coz of 75000 fans wanaoingia old trafford every wk bt shirt sales worldwide sponsors ka DHL na wengineo.. Bt winning trophies helps alot wenger hajashinda kombe since 2005 alafu bado mna over price match tickets why?
Ila katika viungo wakabaji natamani aje ettiene capoue badala ya Yann M'villa,manake nasikia tabia ya M'villa inafanana na ya Song kupenda kwenda mbele kushambulia na kuacha pengo la ulinzi nyuma kitu ambayo ni hatari kwa counter attacks.Ettiene capoue is the real anchor man!
Ok Tufunge mjadala, lets hope our team brings honour this season, lets hope wilshire,walcot, tv5,kolscielny are not sold at the end of this season. Eid Mubarak
Nadhani kidomodomo chao kitapungua sasa!!