Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bora hata nyie mlitoa draw na s'land :biggrin1:

Mpira siku zote utaufurahia iwapo timu zitacheza "open game" na kosa moja basi goli zinafungwa.

Timu nyingi zinacheza 4-5-1 lakini huu mtindo ni wa kujihami zaidi kuliko kucheza kwa uhuru. Timu zinazocheza na Arsenal, Sunderland ikiwa mojawapo hupenda kucheza 4-5-1.

Sasa Man Utd na Everton au Toffees kama wanavyojulikana leo wamecheza "open game" na ndio tumemwona Marouane Fellaini akitawala sehemu ya kiungo na hatimae kufunga goli pekee.

Halafu hata hivyo, timu yako pia imemiliki asilimia 70 ya mpira na imeshindwa kufunga magoli, kuashiria kipindi kigumu huko baadae, pia itabidi mnunue mkoba maana naona Ferdinand anakwenda benchi kwa wiki nne.

Huo ndio mpira mkuu.
 
Mpira siku zote utaufurahia iwapo timu zitacheza "open game" na kosa moja basi goli zinafungwa.

Timu nyingi zinacheza 4-5-1 lakini huu mtindo ni wa kujihami zaidi kuliko kucheza kwa uhuru. Timu zinazocheza na Arsenal, Sunderland ikiwa mojawapo hupenda kucheza 4-5-1.

Sasa Man Utd na Everton au Toffees kama wanavyojulikana leo wamecheza "open game" na ndio tumemwona Marouane Fellaini akitawala sehemu ya kiungo na hatimae kufunga goli pekee.

Halafu hata hivyo, timu yako pia imemiliki asilimia 70 ya mpira na imeshindwa kufunga magoli, kuashiria kipindi kigumu huko baadae, pia itabidi mnunue mkoba maana naona Ferdinand anakwenda benchi kwa wiki nne.

Huo ndio mpira mkuu.

Kuna defende mmoja fergie anataka amnunue coz yatakua kama ya mwaka jana.. Siku hizi season ikianza unakuta hatuna defenders rio smallin jones rafael fabio wote nje.. Hatuna solid defence ka ya chelsea au man city.. Game ya leo mipira yote ya juu fellain alikua anaipata.. They had their game plan and it worked
 
Mpira siku zote utaufurahia iwapo timu zitacheza "open game" na kosa moja basi goli zinafungwa.

Timu nyingi zinacheza 4-5-1 lakini huu mtindo ni wa kujihami zaidi kuliko kucheza kwa uhuru. Timu zinazocheza na Arsenal, Sunderland ikiwa mojawapo hupenda kucheza 4-5-1.

Sasa Man Utd na Everton au Toffees kama wanavyojulikana leo wamecheza "open game" na ndio tumemwona Marouane Fellaini akitawala sehemu ya kiungo na hatimae kufunga goli pekee.

Halafu hata hivyo, timu yako pia imemiliki asilimia 70 ya mpira na imeshindwa kufunga magoli, kuashiria kipindi kigumu huko baadae, pia itabidi mnunue mkoba maana naona Ferdinand anakwenda benchi kwa wiki nne.

Huo ndio mpira mkuu.

Kuna defender mmoja fergie anataka amnunue coz yatakua kama ya mwaka jana.. Siku hizi season ikianza unakuta hatuna defenders rio smallin jones rafael fabio wote nje.. Hatuna solid defence ka ya chelsea au man city.. Game ya leo mipira yote ya juu fellain alikua anaipata.. They had their game plan and it worked
 
[h=1]Jack's back! Arsenal expect Wilshere to return way before Christmas[/h]
Wenger's claims were just an attempt to keep the pressure off injury-jinxed star, who could actually rejoin full training in just four weeks




Jack+Wilshere+of+Arsenal+runs+with+the+ball+during+the+Barclays+Premier+League+match+between+Tottenham+Hotspur+and+Arsenal
In the running: Wilshere has cleared the latest hurdle in his comeback Getty

Arsenal will not sign a like-for-like replacement for Alex Song - because Arsene Wenger is so convinced Jack Wilshere is on his way back.
Wilshere is making good progress in his rehabilitation from his year-long injury nightmare and is on target to finally be back by October.
The Gunners' England midfielder has resumed running, got through a tough programme of fitness work last week and is hoping to rejoin full training in four weeks' time.
Wenger is determined not to get carried away or set unrealistic targets after a series of setbacks last season.
Indeed, the Frenchman has only been claiming he wants him back before Christmas because he did not want to put too much pressure on Wilshere.
But Wenger has no doubt that Wilshere will come back and the club's decision last week to give him the No10 shirt vacated by Robin van Persie was designed to be a huge display of faith and a confidence boost.

Wenger DOES have a deal in place for Real Madrid midfielder Nuri Sahin , but he is a very technical player and is not seen as a replacement for Song.

Sahin, 23, is expected to complete his move to Arsenal on a one year loan deal this week.
No permanent deal has been agreed but Wenger may negotiate an option to buy.


Sahin has made it clear he wants to come to Arsenal and that will boost the club - and when Wilshere returns that will provide a huge lift.
Arsenal scouted Rennes midfielder Yann M'Vila but that interest has cooled and they are now putting their faith in the current squad, plus Wilshere.
M'Vila is still keen, but Arsenal have been put off by his bad boy reputation.
M'Vila said: "I don't know what's happening with the clubs, but I would be keen on Arsenal and the Premier League."

Wilshere is one of English football's hottest prospects but last season was one of heartbreak because of his long-running stress fracture problem and then a knee injury.
But it is clear that Wenger now believes he is finally coming back and that is reflected in his decision to let Song go and then not sign another midfielder other than Sahin.
Song has completed his medical and agreed a £70,000-a-week contract and will be officially unveiled as a Barcelona player on Tuesday.
The Mirror revealed on Sunday that Wenger decided to sell Song because of his discipline on and off the pitch , including lateness and dereliction of defensive duties.
But Song has insisted that he wanted to stay and sign a new long term contract rather than go to Barcelona.
That claim was backed up by Song's representatives insisting they tried to renegotiate his contract five times.
Song will make it clear at his Barcelona press conference that any frustration he had came from Arsenal not wanting to re-sign him on a long-term contract.

Alex+Song+
Bueno! Alex Song strikes a pose after agreeing his move to Barcelona Albert S. Llop / Demotix
Arsenal now have a collection of top-class midfielders with Wilshere coming back, while full-back Bacary Sagna and midfielder Tomas Rosicky also hoping to be back to first team action by the end of September.
Alex Oxlade-Chamberlain will also be used in central midfield this season rather than as a wide player.

The Ox's rising star has also been highlighted by him being made the new face of EA Sports' FIFA football video game for the coming year.

Arsenal are hopeful of having French defender Laurent Koscielny back for Sunday's trip to Stoke.

Arsenal: Jack Wilshere could return in a month after over a year of injury misery - Mirror Online
 
[h=1]Song swipe at Gunners[/h] By ANTONY KASTRINAKIS

Published: Today at 00:21

98







[h=3]ALEX SONG last night taunted Arsenal after completing his £15million switch to Barcelona by declaring: I've come here to win EVERYTHING.[/h] Just days after Robin van Persie quit for Manchester United in search of silverware, the Cameroon midfielder, 24, became the latest Arsenal ace to leave.
Song said: "I'm so happy to be here because everyone knows Barcelona are the best team in the world. I'm feeling like a young boy.
"To be part of this team is something I wanted to achieve when I was young.
"I always tried to think ‘I will play for Barcelona' and now I have the opportunity to be here and play with the best players in the world - Messi, Xavi, Iniesta, Fabregas."
RVP left the Emirates after refusing to sign a new deal and publicly condemned boss Arsene Wenger's long-term strategy and signings.
Last season, Wenger continually lavished praise on the midfield hardman.
Song's words will only fuel claims that Arsenal's failure to sign big names leads to an exodus of stars hungry to win trophies and not be also-runs.
Song added: "Barcelona are the best team in the world because they have all the best players.
"It's very hard to fight to get the space to play.
"I expect the team to continue winning because they are a winning team - they've won everything.
"I hope this year we will win everything. I will just try to do my job to give my best in training and when the boss gives me a chance to play I will do it.
"Today is a good day for me and my family."
Song kipped at the home of close pal and former Gunners skipper Cesc Fabregas on Sunday night.
He said: "Cesc is a very good friend and will help me a lot to come into the team. It's good for me to have a guy like him."


Read more: Alex Song taunts Arsenal | The Sun |Sport|Football
 
mtotowamjini uli summarize msimu wa goners kwa draw! ... vipi pale kwenu! :nerd: na babu anamhitaji veteran kaka haha patamu hapo ..

babu hamtaki kaka ila real madrid wanataka kutusakizia tumchukue on loan maana modric akienda madrid kaka ndio asahau hata bench atakua hapati nafasi...he's a talented player lakini ni injury prone na sasa hivi meza yetu ya majeruhi inakaribia first team nzima tukimleta na kaka sana sana tutaongeza idadi ya wachezaji walio juu ya mawe
 
Suala la Nuri Sahin -Big Update.

Mchezai wa kiungo Nuri Sahin usiku huu ameichagua Arsenal na kusajiliwa kwa mkopo na timu hiyo lakini kukiwa kumewekwa rehani ya paundi milioni 14 endapo Arsenal watataka kumnunua mchezaji huyo moja kwa moja baada ya msimu wa 2012/13 kwisha.


07-Sahicrop.jpg

Nuri Sahin

Wawakilishi wa Real Madrid ya Spain na Arsenal walikuwa wamejifungia katika ofisi wakijadili usajili huo uliokuwa ukingojewa kwa hamu na wapenzi wa timu hio hasa baada ya kusikia mchezaji huyo pia alikuwa akihitajika na timu ya Liverpool na Real Madrid walikuwa wakisita kukubali Arsenal imnunue Sahin pale muda wa mkopo utakapoisha.

Arsenal inatajia kutangaza rasmi mchezaji huyo Jumatano mchana na baadae atajiunga na wachezaji wenzake kujiandaaa na mechi ya jumapili dhidi ya Stoke City kwenye uwanja wa Britannia.

Pia habari zaidi za ndani kabisa kwenye duru za michezo zinasema kwamba pia Arsenal kabla ya msimu wa usajili kwa mwaka huu inaweza kuwasajili au kumsajili mchezaji wa kiungo au wa sehemu ya ulinzi na meneja Wenger mwenyewe amethibitisha wakati akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne.

Mchezaji kati ya Yann M'vila wa Rennes ya France, Cheikh Tiote wa Newcastle United wanatajwa kusajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 15.

M'vila amekuwa akitafutwa na Wenger kwa muda mrefu na baadae akatolewa kwenye orodha ya manunuzi, wakati jina la Tiote limeibuka siku ya Jumanne mchana kwamba mmiliki wa Newcastle Mike Ashley anaweza kushawishika kumuuza mchezaji huyo ambae nae anatamani kucheza ligi ya klabu bingwa ya Ulaya.
mvila-508.jpg

Kiungo mshahara, Yann M'vila atagharimu paundi milioni 15 na ushei hivi.

Lakini usajili wa M'vila ambae pia anahitajiwa na timu zingine kama Spurs ambao ni mahasimu wa Arsenal unaweza usifanikiwe kutokana na kuwepo kwa wachezaji Aaron Ramsey na Francis Coquelin ambao itabidi wapelekwe kucheza kwa mkopo kwenye timu zingine jambo linaloonekana kwamba haliwezekani.

Pia wachezaji Andrey Arshavin na Nicklas Bendtner wanaweza kuondoka kabla ya muda wa usajili kwisha kutokana na timu za Zenit St Petersburg ya Russia na AC Milan ya Italy, kuwahitaji kuwasajili na AC Milan imeonyesha azma yake ya kutaka kubalishana na mchezaji mlinzi Phillipe Mexes.

Ila Arsenal imebakiza mchezaji mmoja wa kusajili!
 
Mie naomba Cheikh Tiote ndio aje, jamaa ni jembe na ligi anaijua.

1 )mkuu mbona watataftana msimu huu! alafu ile game ya kwanza wenger alikosea kikosi! ilitakiwa girold na podolski waanze kama ile pre season tulocheza ujerumani . podolski alikamata winger ile anayocheza gervinho... ! "alafu theo na gervinho wanagombea number ile"!

i can see diaby kukaa bench hadi dakika ya 75! kwani litaanza jembe sahin!...

walckot he doesnt deserve ule mshahara anang`ang`ania sitashangaa akiuzwa & that wont make any difference tuna wingers wazuri wote wanataka ile number


2) urefu wa girold hana tofauti na Fellani aim sure zile killer passes za sahin zitatulia kifuani kabla hajageuka na guu la kushoto..!

3) nimekubali wenger sana! yaani deal ilichelewa walikuwa wakihitaji hicho kipengele cha kumnunua moja kwa moja..

4) kwanini morinho hamfagilii wenger & arsenal .. ni artlcle nilisoma mahali kwamba morinho ali prefer dogo aende club nyingine kuliko kuisaidia goners! i think that is very unprofessional ..

5) Bring It on STOKE!!
 
1 )mkuu mbona watataftana msimu huu! alafu ile game ya kwanza wenger alikosea kikosi! ilitakiwa girold na podolski waanze kama ile pre season tulocheza ujerumani . podolski alikamata winger ile anayocheza gervinho... ! "alafu theo na gervinho wanagombea number ile"!


5) Bring It on STOKE!!

Dah haya kumbe kuna watu wanaweza kuchagua team ya arsenal kuliko wenger mwenyewe...si mchezo...

Kumbukeni mnacheza na stoke at the britannia stadium....
 
Dah haya kumbe kuna watu wanaweza kuchagua team ya arsenal kuliko wenger mwenyewe...si mchezo...

Kumbukeni mnacheza na stoke at the britannia stadium....


ni suggestion tu man! end of the day arsene knows best!!

stoke hawatuumizi kichwa timu yetu nzuri
 
Back
Top Bottom