Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,651
- 25,661
Mjue Nuri Sahin.
Ni raia wa Uturuki na ana umri wa miaka 23.
Maskauti wa Arsenal walimgundua Sahin alipokuwa akichezea timu ya taifa ya vijana ya Uturuki mwaka 2005 kule nchini Peru, kwenye mashindano ya kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17.
Ni mchezaji wa kwanza mdogo kucheza ligi kuu ya Germany Bundesliga akiwa na miaka 16 katika timu ya Borussia Dotrmund.
Akiwa Dortmund alicheza na Thomas Rosicky kwahio itakuwa rahisi kuonyeshwa mazingira ya Arsenal.
Sahin akiwa Borussia Dortmund katika msimu wa 2010/11 BD walitwaa ubingwa wa Bundesliga na Sahin akatangazwa mchezaji bora.
Msimu wa 2011/12 nchini Hispania ndipo Real Madrid walipomsajili ingawa hajacheza msimu mzima kutokana na kuumia.