Mnammiss RVP? Angekuepo mngekuta mmeshinda 1-0 alafu mnamsagia hata aibu hamna... Angalau saivi yuko utd atakua anapumzika hachezi kila game...mnashindwa kumfunga sunderland nyumbani? Nyie mwaka huu kazi mnayo coz hata mwaka jana isingekua magoli ya RVP mngemaliza wa saba au nane kwenye ligi... Alafu mnasema no player is bigger than the club what?
Hata mimi kuna kipindi nilipoteza kabisa imani na AW....Lakini baadae nilikuja kugundua kwamba simtendei haki AW....Tatizo sio AW,tatizo ni bodi ya Arsenal.....Tatizo ni mfumo wa ulipaji mishahara uliopo Arsenal.....Wachezaji wengi wanaondoka Arsenal kwa sababu ya mishahara duni ukilinganisha na timu nyingine.......Bodi ya Arsenal inapaswa kubadilika na kubadili mfumo wa ulipaji mishahara,tofauti na hapo Arsenal itaendelea kuwa feeder club kila mwaka......Kazi yetu itakuwa ni kutengeneza wachezaji na kuwajengea umaarufu na kuwauza hivyo habari ya vikombe itabidi tusahau......
AW hapaswi kulalamikiwa katika hili la wachezaji kuondoka,anapaswa kuonewa tu huruma......Wa kulalamikiwa ni board wa Arsenal........
Najivunia kuwa Mshika Bunduki.........
Once a Gunner, always a Gunner......
Gunners for life...................No matter what.....
We nawe unaongea pumba :biggrin1: wenger anataka players wawe wanalipwa hela sawa.. Ili wasilalamike.. Why? Kuna wachezaji mbuzi arsenal wangeuzwa kusanya hela mnaleta gd players.. Tatizo arsenal sio bodi ni wenger amechoka ki akili na ki mwili hata legends wa arsenal wanasema hiyo.. Ideas zake hazifanyi kazi tena.. Fergie nachompendea ni mzee lkn anajua kubadilisha mfumo kutokana na jinsi maisha yanavobadilika wenger hawezi. Ninawaonea huruma my gooners friends mwaka huu kazi mnayo.. I would b so worried if i were you.
Kwahio kwa kutokana na vigezo vilivyotumika kuangalia ni nani ana pesa utaona kwamba kwa Uingereza ni Man Utd na Arsenal na baada ya hao wawili wanafuata hao wengine.
Vigezo hivyo ni thamani ya timu na mapato yake na ndio utaona kwamba Man Utd ana uwanja unaoingiza watu 75,000 na Arsenal pale Emirates wanaingiza watu 60,000 - na unajaa.
Kama unasoma posts zangu utajua nilisema kua man u are the most profitable club in the world na sio tu coz of 75000 fans wanaoingia old trafford every wk bt shirt sales worldwide sponsors ka DHL na wengineo.. Bt winning trophies helps alot wenger hajashinda kombe since 2005 alafu bado mna over price match tickets why?
Umeongea kila kitu mkuu wangu kuongeza vile vle team kama Arsenal ni team kubwa sana, kama United na City so kupoteza wachezaji kila siku me naona ni kutokana na kocha mwenyewe, sasa mwaka huu Vermalen akicheza vizuri mwakani utaona anachukuliwa na City au United yaani sijui huyu mzee huwa anawaaza nini maana hapa UK ni yeye ndio anaongoza kwa kutoa ma star wake alafu hela inapoenda haijulikani......
mtotowamjini hivi umeangalia match ..??? mbona kelele hivo tumefungwa ngapi..? match ngapi RVP anakuwepo na tunatoa draw .. mlipotufunga 8 RVP.. SONG walikuwa hawapo kwani..? punguza pumba broda kwenye thread yetu! Arsenal hatotoshinda kila game msimu huu.. draw ni part of the game...
Sijaona tofauti ya Olivier Giroud na Maruane Chamakh,hasa ma-striker wakija premier league sijui kwa nini wanachemsha.Cazorla ni mchezaji mzuri sana ,kuondoka kwa RVP sio pengo kuliko kuondoka kwa Song ,nashangaa kwa nini Mr. Bean kamuachia kirahisi hivyo.Ngoja tusubiri wacheza Rugby(Stoke)
We nawe unaongea pumba :biggrin1: wenger anataka players wawe wanalipwa hela sawa.. Ili wasilalamike.. Why? Kuna wachezaji mbuzi arsenal wangeuzwa kusanya hela mnaleta gd players.. Tatizo arsenal sio bodi ni wenger amechoka ki akili na ki mwili hata legends wa arsenal wanasema hiyo.. Ideas zake hazifanyi kazi tena.. Fergie nachompendea ni mzee lkn anajua kubadilisha mfumo kutokana na jinsi maisha yanavobadilika wenger hawezi. Ninawaonea huruma my gooners friends mwaka huu kazi mnayo.. I would b so worried if i were you.
Sijaona tofauti ya Olivier Giroud na Maruane Chamakh,hasa ma-striker wakija premier league sijui kwa nini wanachemsha.Cazorla ni mchezaji mzuri sana ,kuondoka kwa RVP sio pengo kuliko kuondoka kwa Song ,nashangaa kwa nini Mr. Bean kamuachia kirahisi hivyo.Ngoja tusubiri wacheza Rugby(Stoke)
Yaani unampima Giroud na mechi moja ya jana tena na Sunderland ambao siku zote game yao ni kudefend kiasi cha kumfananisha na Chamakh?........
Song kalilia mwenyewe kwenda Barca na board ya Arsenal kwa jinsi ilivyo na uchu wa fedha ikaamua kumuuza kwa pauni milioni 15......
Huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaifuatilia/izungumzia sana Arsenal kiasi hata cha kusahau mechi za timu zao wanazoshabikia na badala yake wanaangalia mechi zinazofuata za Arsenal na kuangalia nini rsenal watafanya katika mechi hizo?......Yaani ukiangalia humu JF thread ya Arsenal ndo inaongoza kwa kuwa na page na post nyingi(kuna page karibu 1040 na post zaidi ya 21000) ilhali thread za vilabu nyingine zinasuasua.......Inashangaza kweli.....
Kama unasoma posts zangu utajua nilisema kua man u are the most profitable club in the world na sio tu coz of 75000 fans wanaoingia old trafford every wk bt shirt sales worldwide sponsors ka DHL na wengineo.. Bt winning trophies helps alot wenger hajashinda kombe since 2005 alafu bado mna over price match tickets why?
Ni kwa nini kila kitu cha Arsenal unakiona kibaya?.....Hivi ni lazima upost ama kuquote post yoyote inayozungumzia Arsenal.....Ni kwa nini usiutumie muda wako wa thamani kwenda kwenye Jukwaa la Man Utd na kujadili mechi yenu ya kesho na Everton ama kujadili mambo yanayohusiana na klabu yenu?....Maana inafika kipindi mpaka unaboa yaani,wewe kila wakati na Arsenal tu......Unakera......
I think the game had more positives than negatives. The defence worked hard. Miedfield did a good job also. More sharpness in the attack and we are good. That will come eventually as the season unfolds. COYG
Dah, mkuu tatizo la timu yetu hii ni yale yale ya "the operation was successful but the patient died" tunacheza vizuri sana lakini tunaishia ubutu tu. Kama itaendelea hivi basi hakutakuwa na jipya zaidi ya ambayo yamekuwa yakitutokea baada ya 2004. All in all, I wish Wenger would be out and sucked!
mtotowamjini hivi umeangalia match ..??? mbona kelele hivo tumefungwa ngapi..? match ngapi RVP anakuwepo na tunatoa draw .. mlipotufunga 8 RVP.. SONG walikuwa hawapo kwani..? punguza pumba broda kwenye thread yetu! Arsenal hatotoshinda kila game msimu huu.. draw ni part of the game...
Wenger alisema u need to win majority of ur home games against lesser teams if u want to win the league or b competitive.. Sasa drawin against s'land na wengine wa chini kama last year alafu ukija kucheza na man u au man city bado mnafungwa top 4 mtaiona kweli?
Ni kwa nini kila kitu cha Arsenal unakiona kibaya?.....Hivi ni lazima upost ama kuquote post yoyote inayozungumzia Arsenal.....Ni kwa nini usiutumie muda wako wa thamani kwenda kwenye Jukwaa la Man Utd na kujadili mechi yenu ya kesho na Everton ama kujadili mambo yanayohusiana na klabu yenu?....Maana inafika kipindi mpaka unaboa yaani,wewe kila wakati na Arsenal tu......Unakera......
:biggrin1: nawaongelea nyie kwa sababu namiss nyie kua watani wetu wakuu.. Man city ndio our main rivals bt i miss ile mshike mshike kati ya wenger na fergie
Dah, mkuu tatizo la timu yetu hii ni yale yale ya "the operation was successful but the patient died" tunacheza vizuri sana lakini tunaishia ubutu tu. Kama itaendelea hivi basi hakutakuwa na jipya zaidi ya ambayo yamekuwa yakitutokea baada ya 2004. All in all, I wish Wenger would be out and sucked!
Jamani ingawa bado ni mapema lakini ukweli huwa haupingiki
Dunia ya leo ili ufanyevizuri kwa maana ya kuchukua ubingwa ni lazima uwe na world class player
Mwaka jana angalau van magoli na song walikuwa msingi na sasa hawapo, tunaweza kuwa tumesajili wazuri lakini not enough
Huitaji akili ya ziada kujua mahasimu wetu man u,man city na chelsea vile wamesajili
Hapa ninachokiona ni the same old story, timeinacheza vizuri lakini haipati vikombe
Yaani unampima Giroud na mechi moja ya jana tena na Sunderland ambao siku zote game yao ni kudefend kiasi cha kumfananisha na Chamakh?........
Song kalilia mwenyewe kwenda Barca na board ya Arsenal kwa jinsi ilivyo na uchu wa fedha ikaamua kumuuza kwa pauni milioni 15......
Huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaifuatilia/izungumzia sana Arsenal kiasi hata cha kusahau mechi za timu zao wanazoshabikia na badala yake wanaangalia mechi zinazofuata za Arsenal na kuangalia nini rsenal watafanya katika mechi hizo?......Yaani ukiangalia humu JF thread ya Arsenal ndo inaongoza kwa kuwa na page na post nyingi(kuna page karibu 1040 na post zaidi ya 21000) ilhali thread za vilabu nyingine zinasuasua.......Inashangaza kweli.....
Jirani hongera kwa pointi na kumpata Carzola.
Watu hupenda kuja hapa kwa sababu washabiki wa Arsenal (wengi wao, si wote) wanachonga sana. Hivyo ni natural process kwamba wanavutia wapinzani kuja kuwapa stick kila inapotokea nafasi, ni swala tu la ushindani (rivalry), nothing more.
unaboa kwa kujifanya u much know broda...sunderland ni timu ngumu nilipata hofu ya umakini wako uliponambia Hukumjua Arteta mpaka alipokuja Gunners "eti alikuwa bench warmer St.goodson park" alafu ukasahau nani alikuwa top perfomer Euro 2008 baada ya David Villa? Kama si Arshavin nani mwingine? Yaani Unazi unazi tu kwenye ukweli husifii we kukashifu timu za wengine Kuna Ulazima wa MAONI YAKO HAPA? Kama Arsenal si kitu mbona ukiingia JF break ya kwanza hapa?
Kama RvP angefunga nafasi zote alizopata msimu uliopita angekua na goal 55. He missed 25 clearcut chances. Do you remember that one against United at home? Against Norwich at home? Yeah. So sioni sababu ya kusema Giroud ni mbovu wakati ni mechi yake ya kwanza EPL. Kila striker anakosa magoli.
But if you want to judge by 1 game. Then Fulham and Swansea ARE TITLE CONTENDERS!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.