kwa Song nakubali hakupaswa kuuzwa kwani alitoa assist nyingi na alikuwa 2nd perfomer after RVP! Tuachane na jazba na ushabiki...je Ndo kiungo mkabaji Arsenal tunaemhitaji? PAMOJA na hayo we conceded 49 goal thanx for our DM na mabeki na mengi ni Counter attacks
Kama AW ameahidi kuleta Mchezaji wa kumreplace hapo sawa na awe kariba ya Tiote,Makelele,De jong,Vieira...hatakiwi kuwa Dribbler pasi moja inatosha,Good Tackler on 50-50 balls,Defensive minded (vitu ambavyo song hakuwa navyo) na mwisho our defence was exposed saana
RVP aling'ang'ania kwenda zake! Mi naomba awamalize wote makinda waliokuwa wametengeneza timu mwaka 2008-2011 awekeze kwa "Matured" players kama anavyofanya sasa ni 25 years+ Per,santos,arteta,Tv5,Arshavin,Cazorla,Sagna,Podoski,Giloud,Gervinho na alete wengine watu wazima aachane na vitoto