Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mapato ya Club ni kuuza t-shirts,mapato ya Television,Wadhamini wa jezi,tickets,CL,Stadium naming rights, trophies zina pesa ila sio main source ya income...Tickets za msimu mzima za arsenal peke yake mpaka jana zilishauzwa robo tatu ingia skysports, au thesun

Tickets zimepanda sana bei msimu huu mpaka ma fans wanalaumu kwa Tafiti zilizofanyika na Katika mafans 10 pale UK 9 wanalalamika kushindwa ku afford up to 15% price increase na kuna uwezekano wa Viwanja vingi kutojaa...ARSENAL INAKUWASHA SANA pole

Sasa arsenal inaongeza bei za ticket kwa kigezo gani wakati hawajashinda kombe miaka 7 na wachezaji wanakimbia
 
nahisi nitapigwa BAN kwani kuna shabiki anajifanya "anajuuua" kama wenzake tumeanza tizama mpira majuzi? wengi wao wameanza kuzipenda timu zao wakati wa Glory time...sitaji timu naishia hapa Lol

:biggrin1: :biggrin1: mi ndio nimeingia hapa nipo na nitaendelea kuwepo... Ila mkitaka niseme kitu kizuri kuhusu arsenal ni kua ningependa washinde champions lg... Angalau wenger astaafu akiwa alishashinda CL.. Yaani mchovu ka di matteo kashinda CL na wenger hajapata? Nitawasupport kwenye europe this season
 
Mkuu kwa case ya SONG ambaye last week ali tweet kuwa anafuraha na maisha ya arsenal na hatarajii kwenda popote, kumbuka SONG alitengeneza magoli 11 kati ya magoli 30 ya Van persie, kumbuka Song ndo top assist wetu wa last season (Wenger anasema Diaby is back; MAMAKE Diaby hafiki hata robo ya Song) - SITAMSAMEHE WENGER MAISHA YANGU YOTE - IMENIUMA KULIKO HATA RVP, Wenger ameshapotea kimbinu ( ananunua chipkizi waki mature na kuwa kwenye peak anauza - anaanza kuunda timu upya), makocha wangapi tunawaona wana quit kwa kuwa board za timu haizfanyi watakavyo. WENGER + KROENKE OUT. NA NAKUAPIA MKUU; CHINI YA WENGER ARSENAL HAITASHINDA EPL, FA CUP, WALA UCL. Kombe pekee tunaloweza kupata chini Huyu MAMAKE ni EMIRATES CUP

Song doesn't have a twitter a/c. Cha pili ni kuwa alisema anataka nyongeza kubwa ya mshahara lasivyo anaondoka.
 
maneno kama hayo waliongea before kuhusu van persie.... kuhusu song .... walewale waliokuwa wakiongea hayo maneno now wanakuja kulalamika mbona tunawauza ni world class players! .... tabia za kigeu geu ni za ma plastic fans! kama wale jamaa Le-grove! pedro na kundi lake ! walimpiga sana vita song hatulii kulinda kwenye defense ni worse player! van made of glass anakula mshahara wa bure leo hii wamemgeukia wenger why you are selling our world class players .. hebu muacheni wenger afanye kazi yake!

Ukiachana na cazorla daiby jana was one of the top performer

WENGER KNOWS!

EXACTLY what I wanted to say.
 
kwa Song nakubali hakupaswa kuuzwa kwani alitoa assist nyingi na alikuwa 2nd perfomer after RVP! Tuachane na jazba na ushabiki...je Ndo kiungo mkabaji Arsenal tunaemhitaji? PAMOJA na hayo we conceded 49 goal thanx for our DM na mabeki na mengi ni Counter attacks

Kama AW ameahidi kuleta Mchezaji wa kumreplace hapo sawa na awe kariba ya Tiote,Makelele,De jong,Vieira...hatakiwi kuwa Dribbler pasi moja inatosha,Good Tackler on 50-50 balls,Defensive minded (vitu ambavyo song hakuwa navyo) na mwisho our defence was exposed saana

RVP aling'ang'ania kwenda zake! Mi naomba awamalize wote makinda waliokuwa wametengeneza timu mwaka 2008-2011 awekeze kwa "Matured" players kama anavyofanya sasa ni 25 years+ Per,santos,arteta,Tv5,Arshavin,Cazorla,Sagna,Podoski,Giloud,Gervinho na alete wengine watu wazima aachane na vitoto

Sijui kama wanakuelewa. 'Defensive minded', tunafurahia assist 11 lakini lack of defensive cover when full backs support attack made us concede 49 goals last season. Saying that, a real DM has to come in.
 
Song doesn't have a twitter a/c. Cha pili ni kuwa alisema anataka nyongeza kubwa ya mshahara lasivyo anaondoka.

Hata kama hana twitter a/c ali kotiwa akisema hivyo - ndo mana hata wenger alibanwa kuhusu kwa nn anamuuza song... jibu alilokuja nalo ni kuwa tayari ana viungo 9, lakini Song akuforce kuondoka kama unavyotaka iaminike, na atake mshahara mkubwa wakati ana miaka 3 ya mkataba imebaki ( Ebu soma THE SUN SPORTS - Wiki nzima; hiyo ishu ya Song kutaka mshahara mkubwa ndo nakuskia wewe) Wenger is planning to bring in Nuri Sahin From Real Madrid ( another average player in the squad... Diaby, Gibbs,Jerkinson,Djourou, Squillaci,Denilson,Ramsey,Park, Chamak,Alshavin....list ya average players who will win us EMIRATES CUP ONLY). Im Arsenal fan, but for me 4th spot si ubingwa and doesnt worth celebration. WENGER + KROENKE OUT. IN WENGER I DOUBT
 
Sijui kama wanakuelewa. 'Defensive minded', tunafurahia assist 11 lakini lack of defensive cover when full backs support attack made us concede 49 goals last season. Saying that, a real DM has to come in.

Nuri Sahin From Real Madrid anaripotiwa kuwa ndo anatarajiwa kuziba pengo la Song. Another average player wa kumkuza ili kumuuza for higher price, and will win us nothin.
 
Mkuu ni kweli kuwa Song hakuwa kiungo mzuiaji mzuri, na kama Wenger angetumia pesa kutafuta replacement nzuri, tungekuwa na hope; cha ajabu ktk interview ya juzi anasema haitaji kusajili kiungo kwani anawachezaji 9 sehem ya kiungo (akawataja, Diaby,Frimpong,Wilshire etc) they are coming back, ukiacha Wilshire ambaye we can build a team around him...na isitoshe ni majeruhi anayetarajiwa kurudi end of october. We can not compete tukiwa na diaby/ Frimpong/Ramsey - simply... they are not good enough

Usimuongelee Frimpong wakati hujaona perfomance yake in a long run. Unakumbuka wakati Song anacheza mechi ya kwanza Arsenal? Alichemka, akazomewa mpaka ikabidi atolewe halftime. Lakini Wenger alikua na imani nae. You may make jokes about Diaby but you can't write him off, trust me.

Alafu kuhusu Wenger kusema hanunui kiungo kwa sasa. Nakumbuka aliwahi kuulizwa kama atamsajili Cazorla, akasema wala hajui Cazorla ni nani and look who is running our miedfield.

By the way, WILSHERE is making good progress and is expected as early as September. By good progress I mean, training. I hear he personally wanted to start playing next week but Arsenal don't want to rush him back.
 
Winners dont sell their best players, and replace them with average players - ni aibu hata Totts can keep hold of their best players ( kama Bale na Modric wangekuwa arsenal wangeshauzwa long time). Una msubiri Wilshire in September, au una msubiri Frimpong akuze kiwango. hutaki point za August na Early September.
 
Nuri Sahin From Real Madrid anaripotiwa kuwa ndo anatarajiwa kuziba pengo la Song. Another average player wa kumkuza ili kumuuza for higher price, and will win us nothin.

Kwahiyo Song ni world-class? Nuri Sahin alikua kiungo na captain wa Dortmund wakati wanachukua ubingwa mbele ya Bayern. Kukaa bench madrid ambapo Alonso na Khedira wapo form haina maana ni average player.
 
Kwahiyo Song ni world-class? Nuri Sahin alikua kiungo na captain wa Dortmund wakati wanachukua ubingwa mbele ya Bayern. Kukaa bench madrid ambapo Alonso na Khedira wapo form haina maana ni average player.[

Minal faidheen kaka; Enjoy your Eid, and be blessed.
 
Winners dont sell their best players, and replace them with average players - ni aibu hata Totts can keep hold of their best players ( kama Bale na Modric wangekuwa arsenal wangeshauzwa long time). Una msubiri Wilshire in September, au una msubiri Frimpong akuze kiwango. hutaki point za August na Early September.

Kaka Nuri sahin ni average player???? are watching football? haya hao Tottenham wamemkomalia Modric yako wapi? kagomea mazoezi sasa je huyo atakuwa form kweli?? Ebu nitajie wachezaji waliouzwa na Arsene wenger bila wao kutaka....give me the List please
 
Kwahiyo Song ni world-class? Nuri Sahin alikua kiungo na captain wa Dortmund wakati wanachukua ubingwa mbele ya Bayern. Kukaa bench madrid ambapo Alonso na Khedira wapo form haina maana ni average player.

Tatizo la kutizama league moja tu ndohili hapa linajitokeza....alafu watu wa hivi ndio wakati ananunuliwa Laurent Koscienly, Varmaelen,Oxlade, walikuwa wanaponda..sasa eti wamewakubali

Toka niiijue arsenal kuna wachezaji wachache sana walinunuliwa na wakawa FLOPS....eg Park chu yong,cygan,Babtista(loan deal),Chamack,Suker,Francis Jeffers, Fabianski,Almunia who else???

Ukisema Arshavin ni flop sikweli maana Kosa ni la Arsene mwenyewe maana akiwa Russia anacheza katikati na anaperfome ile mbaya sasa formation kumkataa eti ameflop....he has never been a left winger but a second striker
 
Mkuu ni kweli kuwa Song hakuwa kiungo mzuiaji mzuri, na kama Wenger angetumia pesa kutafuta replacement nzuri, tungekuwa na hope; cha ajabu ktk interview ya juzi anasema haitaji kusajili kiungo kwani anawachezaji 9 sehem ya kiungo (akawataja, Diaby,Frimpong,Wilshire etc) they are coming back, ukiacha Wilshire ambaye we can build a team around him...na isitoshe ni majeruhi anayetarajiwa kurudi end of october. We can not compete tukiwa na diaby/ Frimpong/Ramsey - simply... they are not good enough

Arsenal decided to cash in on the 24-year-old and have now revived their interest in a season-long loan deal for Real Madrid midfielder Nuri Sahin.
SOURCE: Daily Mirror
Sky Sports understands that Arsenal have moved into pole position for Argentine international Lucas Biglia.
The 25-year-old Anderlecht player has long been on Arsene Wenger’s radar, even from when he first moved to Brussels back in 2006.
Biglia has progressed well in recent seasons and now a number of Europe’s top clubs are chasing his signature.
SOURCE: Sky Sports
The departure of Alex Song to Barcelona, though not totally unexpected, is a blow to Arsenal. Whilst the sale of Robin Van Persie was perhaps on the cards due to the Dutchman only having a year left to run on his Gunners contract, the Cameroon international was tied to the North London club until 2015 and as such there was no real imperative to sell the 24 year old other than his apparent interest in moving to the Nou Camp.
Real Madrid midfielder Nuri Sahin is now being heavily linked with a move to the Emirates Stadium and a season long loan deal could help the Turkish international re-start a career that is stagnating at the Bernabeu whilst simultaneously offering Arsenal a fresh creative option.
Sky Sports believe that Arsenal are also closing in on Argentine international Lucas Biglia, a player who could ably replace Song and give Arsene Wenger some much needed steel in the centre of the park.

Though the 25 year old has been plying his trade in the relatively average Belgian top tier for six years, this has not prevented him from being called up by his national team and he could prove a relatively inexpensive replacement for the Barcelona bound midfielder.

UMEFURAHI SASA?
 
I'm done with this. It is a holiday after all. Eid Mubarak

kaka tatizo la plastic fans hata ukijaribu kuwaelewesha hawaelewi wanasoma sana magazeti ... hawa hawa wanaowaita average players wakija kuuzwa wataanza tena kulalamika we are selling our world class players!

kaka nakutakia ead mubarak! .. nasubiri game ya chelsick!
 
Kaka Nuri sahin ni average player???? are watching football? haya hao Tottenham wamemkomalia Modric yako wapi? kagomea mazoezi sasa je huyo atakuwa form kweli?? Ebu nitajie wachezaji waliouzwa na Arsene wenger bila wao kutaka....give me the List please

wao wanadhani world class player lazima anunuliwe kwa bei mbaya! sana.. haha
 
Back
Top Bottom